Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Colgate mkuu ndio naweza tumia na nikawa huru siku nzima na hususani Herbal ila domo langu hili nikitumia Whitedent ata iwe herbal siwezi kaa 5 hours bila kuona uzito .. Colgate is life saving here!
 
kiukweli nilijua izo sensodine ni nzuri but hovyoo ni kama AHA ya buku tu, ila kuna Colgate moja nzuri niliitumia kipindi flani ina viparticle kama vya srcub ivi ilirudisha weupe wa meno yangu sana na ufresh wa mdomo unauhisi kabisa
Inaitwa Max fresh ambayo kuna normal max fresh(rangi nyekundu) na herbal max fresh (rangi ya kijani). Ni dawa nzur sanaaa
 
4d2b662241ff08ace9d154f3cb989376.jpg
 
Kwa Ulinzi wa MENO Yasiume,au kama yanakuuma sensodyne ni the best nilianza kutumia last 2 weeks baada ya kuona kwenye Tv Dr.mmoja akisema inasaidia meno yenye Ganzi,yanayouma na
kwenye Maduka ni Tsh 10,000- 15,000 tuu ni the best kwa kweli acha tuuu
Mkuu na mimi ni muumini wa SENSODYNE, nilishauriwa na Dr Kenneth wa Hindu Mandal, aiseee meno yako powa kabisa sasa hivi!
 
Sensodyne very good vry good Mkuu usiache kuitumia hii na huta juta... huuwa vijidudu....unajua unatakiwa kutumia dawa sio tuu inawesafisha meno yawe meupe lakini zaidi iuwe vijidudu vilivyobakia
Pia msisahau akama mna muda kutumia hata listerine kwa kusukutua mara moja moja
Listerine ikoje Mkuu? Inapatiana wapi? Bei Je?
 
kiukweli nilijua izo sensodine ni nzuri but hovyoo ni kama AHA ya buku tu, ila kuna Colgate moja nzuri niliitumia kipindi flani ina viparticle kama vya srcub ivi ilirudisha weupe wa meno yangu sana na ufresh wa mdomo unauhisi kabisa
kumekuwa na copy nyingi ya hizi dawa cha msingi ni kuangalia inatoka wapi mfano sensodine nadhan ya zambia/SA ni bora sana
 
Back
Top Bottom