Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Tatizo la sensodyne linakuja unanunua ipi na kwa matumizi yapi,

Iyo ya maumivu ya jino na kuoza Inaitwa Sensodyne (for sensitive teeth)

Zipo pia
-sensodyne (for whitening teeth): kung'arishia meno

-sensodyne (for mint fresh): kuondoa harufu mbaya mdomoni

-sensodyne (for gum protection): kwa wanaovuja fizi
basi mtu ununue hizo zote tuu.

Kuna hiyo ya senstitive teeth nilinunua,jino lilikuwa linauma aisee lilitoboka basi kila nikitumia jino linapoa,mpaka leo haliumi na sijaziba wala nini
 
Hiyo ya kuondoa harufu mbaya mdomoni ndo tsh ngapi boss?
 
Hiyo ya kuondoa harufu mbaya mdomoni ndo tsh ngapi boss?
10,000@pc
Hii ya Kwanza juu[emoji116]
JamiiForums-1794080000.jpg
 
basi mtu ununue hizo zote tuu.

Kuna hiyo ya senstitive teeth nilinunua,jino lilikuwa linauma aisee lilitoboka basi kila nikitumia jino linapoa,mpaka leo haliumi na sijaziba wala nini
Nzuri Sana iyo, mi mwnyw natumia iyo miaka yote tangu nmezaliwa.

Sjawahi kung'oa jino lolote mdomoni mwangu kwa umri wote huu over 30s.
 
Nimetumia
Whitedent
Colgate
Close up
Sensodyne

Nimesukutua LİSTERİNE, na nyingine sikumbuki,

Nimesukutua Mchanganyiko wa Limao, Mdalasini, asali na İle nini sijui bikabonet,

Nimesukutua Chumvi na magadi

LAKİNİ TATİZO LA KUNUKA KİNYWA LİKO PALE PALE.
Nakosa amani sana maishani.. [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Nisaidieni!!!!
Poleh sana
Huwa unasugua ulimi?.
 
Natumia Colgate ama ile ya Forever

Na Mouthwash ya Mint ya Colgate

I brush twice a day
Jioni hata bila dawa
Nasukutua kila baada ya mlo na najitajidi kunywa maji mengi
 
Nzuri Sana iyo, mi mwnyw natumia iyo miaka yote tangu nmezaliwa.

Sjawahi kung'oa jino lolote mdomoni mwangu kwa umri wote huu over 30s.
Naomba picha yake, make zote zimeandikwa for sensitive teeth.
 
Wananunua kwa wamachinga hao.

SENSODYNE kanunue duka la Dawa linaloaminika

Waje niwauzie siyo copy za Dubai

Ila mi natumia
image-2022-10-05-10:27:42-425.jpg

Haina sukari kabisa

Imenisaidia mno nilishatoa Meno mawili kabla ya kuijua
Halafu ni Bei nafuu .
 
Back
Top Bottom