DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Inaitwa SENSODINE (for sensitive teeth)Sensodyne yenye rangi ya pink ni nmwaaa! yaani the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa SENSODINE (for sensitive teeth)Sensodyne yenye rangi ya pink ni nmwaaa! yaani the best
basi mtu ununue hizo zote tuu.Tatizo la sensodyne linakuja unanunua ipi na kwa matumizi yapi,
Iyo ya maumivu ya jino na kuoza Inaitwa Sensodyne (for sensitive teeth)
Zipo pia
-sensodyne (for whitening teeth): kung'arishia meno
-sensodyne (for mint fresh): kuondoa harufu mbaya mdomoni
-sensodyne (for gum protection): kwa wanaovuja fizi
Mm huwa nanunua pharmacyWananunua kwa wamachinga hao.
SENSODYNE kanunue duka la Dawa linaloaminika
Hiyo ya kuondoa harufu mbaya mdomoni ndo tsh ngapi boss?Tatizo la sensodyne linakuja unanunua ipi na kwa matumizi yapi,
Iyo ya maumivu ya jino na kuoza Inaitwa Sensodyne (for sensitive teeth)
Zipo pia
-sensodyne (for whitening teeth): kung'arishia meno
-sensodyne (for mint fresh): kuondoa harufu mbaya mdomoni
-sensodyne (for gum protection): kwa wanaovuja fizi
10,000@pcHiyo ya kuondoa harufu mbaya mdomoni ndo tsh ngapi boss?
Huko ndo sahihi, za wamachinga zinakua zishapigwa sn na jua uko barabaraniMm huwa nanunua pharmacy
Nzuri Sana iyo, mi mwnyw natumia iyo miaka yote tangu nmezaliwa.basi mtu ununue hizo zote tuu.
Kuna hiyo ya senstitive teeth nilinunua,jino lilikuwa linauma aisee lilitoboka basi kila nikitumia jino linapoa,mpaka leo haliumi na sijaziba wala nini
Hii sijawahi kuiamini kabisa,Natumia Vigor doctor
[emoji120] [emoji120] [emoji120]10,000@pc
Hii ya Kwanza juu[emoji116]View attachment 1475594
Poleh sanaNimetumia
Whitedent
Colgate
Close up
Sensodyne
Nimesukutua LİSTERİNE, na nyingine sikumbuki,
Nimesukutua Mchanganyiko wa Limao, Mdalasini, asali na İle nini sijui bikabonet,
Nimesukutua Chumvi na magadi
LAKİNİ TATİZO LA KUNUKA KİNYWA LİKO PALE PALE.
Nakosa amani sana maishani.. [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Nisaidieni!!!!
Naomba picha yake, make zote zimeandikwa for sensitive teeth.Nzuri Sana iyo, mi mwnyw natumia iyo miaka yote tangu nmezaliwa.
Sjawahi kung'oa jino lolote mdomoni mwangu kwa umri wote huu over 30s.
Wananunua kwa wamachinga hao.
SENSODYNE kanunue duka la Dawa linaloaminika
Bei gani rafiki yangu wa Kanda moja?Waje niwauzie siyo copy za Dubai
Ila mi natumia View attachment 2377619
Haina sukari kabisa
Imenisaidia mno nilishatoa Meno mawili kabla ya kuijua
Halafu ni Bei nafuu .
Bei gani rafiki yangu wa Kanda moja?
Inaitwa Colgate Maxifresh. Ipo vizuri sana
Ile ya Thailand ilikua nzuri imepotea aseeNow wametoa Advanced Colgate Maxifresh ila made Nigeria hovyo usinunue