safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mimi mwanzo nilipata sensodyne kwa 6500 nimetumia imesaidia kidogo ila mara ya pili nikanunua kwa 12000 hii ilikuwa kiboko.Sasa utaitambua vipi?? kama imechakachuliwa au la
Wanangu wa A town inakuaje??
Kuna jino langu limetoboka sasa ikifika usiku linauma balaa,nikawa natumia hii ya 12K basi jino likiuma napaka sensoydne mswaki napiga aisee baada ya dakika maumivu yote yanapotea kama sio jino lile.
Sasa hivi imeisha ni kama wiki hivi natumia mswaki tupu huwezi amini jino haliumi tena kama zamani na hakuna jino linalouma japokuwa limetoboka,nafanya mpango nifumbe macho nikanunue tena duka lilelile nina imani nikitumia kwa mwaka mmoja tu tatizo la meno litaondoka