Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaaaa.Sensodyne ni nzur sana hasa kama meno yanakufa ganzi ila ununue supermarket au maduka makubwa ya dawa, mtaani zipo feki nying zinauzwa had 5,000
Colgate maxkiukweli nilijua izo sensodine ni nzuri but hovyoo ni kama AHA ya buku tu, ila kuna Colgate moja nzuri niliitumia kipindi flani ina viparticle kama vya srcub ivi ilirudisha weupe wa meno yangu sana na ufresh wa mdomo unauhisi kabisa
Mimi meno yametoboka asee naulizia dawa fulani ipo kama petroli rangi yange uki sukutua na kupigia mswaki meno yanakua poa.
inaitwa listerineMimi meno yametoboka asee naulizia dawa fulani ipo kama petroli rangi yange uki sukutua na kupigia mswaki meno yanakua poa.
Asante mkuuinaitwa listerine
Hii itanifaa maana ninatoa harufu mbaya sana isiyevumilikaBright ya forever 15,000 mwisho wa maneno kwani inakaa mdomoni Muda mrefu sana na inakata harufu mbaya mdomoni inayotokea kwenye tonsils au tumboni Halitosis
Sasa utaitambua vipi?? kama imechakachuliwa au laHapana hiyo dawa ni nzuri sana sema kuipata yenyewe ni issue nyingi zimechakachuliwa