Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Mm mwenyewe naipenda sana hii dawa, cjawahi kutumia dawa ambazo ni expensive ila kwa hizi za mid range-price naona hii ni nzuri sana, japo kwenye maduka ya kawaida ni ngumu kuzipata
Ya jamaa wako vzur
 
Reactions: cdc
aina hii ya colgate mpk supermarket nini maana huku mtaani sizioni?
Yeah mtaani hazipo kutokana na udogo wake bei kubwa hivyo ziko kwenye malls na supermarkets nyingi ukikamaliza kamoja tuu meno hubadilika na kuwa meupe sana.
 
ipi nzuri maana yako mengi mtaani.
 
Tumia Aloe Vera Toothgel (Forever Bright) no Floride. Ni nzuri sana tumia. Bei 15,000 - 17,000
 
yeah mtaani hazipo kutokana na udogo wake bei kubwa hivyo ziko kwenye malls na supermarkets nyingi ukikamaliza kamoja tuu meno hubadilika na kuwa meupe sana.
itabidi niitafute hii...shukrani boss
 
kiukweli nilijua izo sensodine ni nzuri but hovyoo ni kama AHA ya buku tu, ila kuna Colgate moja nzuri niliitumia kipindi flani ina viparticle kama vya srcub ivi ilirudisha weupe wa meno yangu sana na ufresh wa mdomo unauhisi kabisa
😀 eti vi AHA, umenifurahisha
 
Acheni mautani basi,mm natumia mswaki Wa mjohoro mwaka Wa 9 sasa bila dawa za meno na meno yapo fresh tu,
mjohoro, mnazi, mwarobaini na mpera na mibura iko poa sana.
 
Sensodyne ni Nzuri Mkuu sina hakika kama kuna brand nyingi za hiyo product.
Sensodyne ni nzur sana hasa kama meno yanakufa ganzi ila ununue supermarket au maduka makubwa ya dawa, mtaani zipo feki nying zinauzwa had 5,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…