HOJA DAWASA kuleta maji usiku wa Manane huwa mna maana gani?

HOJA DAWASA kuleta maji usiku wa Manane huwa mna maana gani?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

The Dojin

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2026
Posts
437
Reaction score
782
Habari wakuu,

Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hivi hawa DAWASA wanadhani wananchi muda huo tunakuwa Doria?

Kwanini wasifungulie maji machana au jioni? Inashangaza sana.

Mambo kama haya ndio yanayopelekea Serikali kuchukiwa bila sababu. Kuna umuhimu wa kuajiri watu wanaoweza kufanya reasoning ndogo tu kwamba muda huu tunapoachia maji wananchi wanaweza kuchota.

Tunaomba wahusika waliangalie hili.
 
Back
Top Bottom