GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu.
Na hii hali ina karibia mwezi sasa.
Dawasa tunaombeni taarifa.
Kwanini kila mwaka shida ya maji ni ileile hakuna utatuzi wa kudumu.
Hapa chini ni baadhi ya replies za wananchi wakilalamikia maji.
Pia soma: KERO - Wakazi wa Kimara Korogwe tumechoshwa na mgawo wa Maji, DAWASA mko wapi?