GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
- Thread starter
- #21
Inasikitisha sana.sisi GOBA tuna mwezi sasa hatuna majii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana.sisi GOBA tuna mwezi sasa hatuna majii
Nipo mlandizi kibaha, huku kuoga nusu ndoo ni anasa. Wamekumbwa na nn hawa jamaaHakuna maji eneo kubwa sana sio kimara tu, wahusika wamepiga kimya.
Inawezakana kuna mgao wa kimyikimya,Nipo mlandizi kibaha, huku kuoga nusu ndoo ni anasa. Wamekumbwa na nn hawa jamaa
Nilikuwa kibaha pia maji ni ya manati.Nipo mlandizi kibaha, huku kuoga nusu ndoo ni anasa. Wamekumbwa na nn hawa jamaa
Mimi nilikua nayo kwenye tank leo siku ya tatu bila bila ila naona wengine watakua na muda huo,alafu tangazo Lao ni siku moja huku watu wanazaidi ya wikiTabata huko kuna jamaa zangu wanasema wanaenda week ya pili sasa hakuna maji
Serikali ipi hiyoNilikuwa kibaha pia maji ni ya manati.
Kwanini serikali isichimbe tu mavisima meeengi au isafishe maji ya bahari na yapo tele,
Kila siku Ruvu tu.
Nchi ya kusadikika.Serikali ipi hiyo
Ova
Serikali hii hawawezi na haitotokea wakaja wakawapa wananchi wao huduma za uhaikaNilikuwa kibaha pia maji ni ya manati.
Kwanini serikali isichimbe tu mavisima meeengi au isafishe maji ya bahari na yapo tele,
Kila siku Ruvu tu.
Sio kweli.Serikali hii hawawezi na haitotokea wakaja wakawapa wananchi wao huduma za uhaika
Wao wanapenda kuona wananchi wao wana hangaika wateseke,ili mwananchi awe anawalamba miguu
Ova
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu.
Na hii hali ina karibia mwezi sasa.
Dawasa tunaombeni taarifa.
Kwanini kila mwaka shida ya maji ni ileile hakuna utatuzi wa kudumu.
Hapa chini ni baadhi ya replies za wananchi wakilalamikia maji.
Pia soma: KERO - Wakazi wa Kimara Korogwe tumechoshwa na mgawo wa Maji, DAWASA mko wapi?
View attachment 3175730View attachment 3175731View attachment 3175732View attachment 3175733View attachment 3175734View attachment 3175738