KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero.

Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa.

Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje.

Mnatupeleka wapi maana hatujui yanakuja na fungus ama typhoid ama mengineyo

Tokeni ofisini mje kuona wananchi wanavyoteseka.

Mwanzoni nilihisi kwetu nenda kwa jirani maji ni yaleyale mpaka uchuje.

Manager Kawe tokeni ofisini tembelea wateja chunguza shida nini tutakufa na magonjwa kuna wazee wasije ondoka mapema na magonjwa hatarishi.

Mbarikiwe.....
 
HII KERO WANAIONA BASI TU, HAKUNA ANAYEJALI
 
yaan motor anauliza dady nn hiii nkaogopaa kuangalia maudongoo
 
Usikute DAWASA wameitikia kwa vitendo wito wa World Bank wa kudhibiti idadi ya watu kabla ya 2025.
 
Nadhani hii ni sehemu kubwa ya Dar, maji ni machafu sana sana.
Hataree sana ndugu xangun huku kila nyumbaaa wanajikuna wakiwa bar ama hadharani mpaka unawaxa shida nnn
 
MBEZI BEACH MAKAZI MAPYA-shida inaanzia hapa kwenye jina
 
Duuh maji mnatoa wapi mkuu
Tunanunua kwa mawakala wa hao hao dawasa wanaenda kuchota kwenye visima vya dawasa kuja kusambaza mitaani.

Kuna vikenta wamevipa vibali vina madumu yenye ujazo 1000mls wanatuuzia 20,000/=,ukiwa na familia kubwa hayakai hata wiki so inabidi kununua dumu mbili 40K na usalama na usafi wa maji haujulikani.
 
jangaa la kitaifaaaa hili naonaa aweso mh wangu angeachana na kufungua miradir mikoan huku wananchi wa dar wanakufa na maji machafu watafute soln alafu wamekaa kimya kama kuna....zoezi linaendelea hawaa wacha wapambanee na halixaooo yanamwishooo hayaa
 
Mzee wangu Mh warioba Alisemaa tuko na majanga ya maji umemee watuuu wakamtolea machoooo msibani sasaa tunashaaaaa aiseeee tutaisomaaa nambaa
 
Ss toka Desemba tumenda dawasa kinyerezi hakuna majibu yoyote ya maana mafundi wanasema watu wanalima pembeni ya mto yanasababisha udongo kujaa kwenye chujio wenye jukumu la kuwadhibiti hao wakulima cjui ni nani?
 
UNAWEZA HISI MATAPUSHI N UDONGO HAYA N MAJI YAM.ECHOTWA SAA KUMI NA MBILI ASBH

MH AWESO ACHHANA NA MIKOAN KAKAA NJOO TUPATE SOLN MTAZIKA NA WACHAGA WAHAYA SIKUHIZI WOTEE WAMEGOMA KUZIKKWA MAKWAO N MBWEN BUNJU NK MTAWEZA??SIKILIZEN REDIO ONE WAKINA MASAWE MACHA MOSHI MUSHI WOTE UNASIKIA MAZIKO UNUNUO ..HAPO KINA MULOKOZI..LUTASHOBYA AWAJAJA KUNUNUA SEHEMU ZAO ZA KUZIKIA .WAKIFA..
 

Attachments

  • 20240313_104845.jpg
    1.5 MB · Views: 4
  • 20240313_104825.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…