KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Unauhakika kua kule Magogoni,Osterbay na maeneo ya St Peters kwenye jumba kubwa kabisaa yanatoka rangi ya tope pia?!!
Jifunze kusoma, usisome ku reply soma kuelewa. Nmeandika maeneo mengi ya Dar, sijasema ni Dar yote. Usikurupuke mkuu
 
Jifunze kusoma, usisome ku reply soma kuelewa. Nmeandika maeneo mengi ya Dar, sijasema ni Dar yote. Usikurupuke mkuu
Elewa logic,read between the line.

Ujumbe Mkuu hapo kua watawala wachache wanafaidi jasho la watawaliwa na hawajali, wananchi wanateseka.
 
Elewa logic,read between the line.

Ujumbe Mkuu hapo kua watawala wachache wanafaidi jasho la watawaliwa na hawajali, wananchi wanateseka.
Mkuu mada haihusiani na haya uliyoandika, na wala mimi sijakuuliza haya. Nashangaa unaniambia haya na wala hayahusiani na kile nilichoandika.

Mimi nimemjibu mtoa mada kulingana na kero yake, mambo ya watawala kufaidi angeandika pengine na haya ndio tungekuwa na mjadala huo. Sijaona alipoandika labda unionyeshe vinginevyo nitakuwa naharibu uzi wake kuleta vitu ambavyo hajavileta.

Mimi niliandika sehemu kubwa ya Dar, wewe ukaja na mara Ikulu sijui st Peters na vitu vingine unavyovijua wewe, sehemu kubwa ya Dar haimaanishi ni yote, nadhani hapo ndio hatukuelewana, sasa mambo ya logic na watawala mkuu nadhani umeyaleta sehemu ambayo hayahusiani mkuu.
 
Back
Top Bottom