DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

Hata ungeandika kigiriki haibadilishi pumba ulizoandika hapa
Mche huyu mwamba akubrush ilo fuvu STALIN J V ana comments zenye akili apo juu zitasaidia fuvu lako
You don't even know what we were discussing with the guy I agree with his facts but the topic was how can water purification be done with the same price per unit because I know those systems are expensive.
 
I know what I'm talking about because one day we conducted water quality monitoring in association with EWURA and one of the key factors cited why many water supply authorities they don't do regular dosing stated that it's operations costs doesn't match with price of water because those systems are expensive.
Haiwezi kuwa sawa na hii ya sasa ni kweli lakini si gharama hivo na ishu ya production number of quantities inasaidia ku reduce costs pia gharama kuubwa ni kwnye installation, na hata hivyo we are blessed na vyanzo vya maji what if tusingekua navyo??

Pia lazima tuwe tayari na mabadiliko ya hali ya hewa tusipojiandaa sasa tutafanya kwa presha yenye gharama baadae.

Hata hivyo bado kwa uelewa wa maji ya kisima kwa chumvi iliyopo ni kisima kifupi si kirefu kukuta maji yaliyo poa na hata kama ni eneo kwann wasifanye tafuti wakajirizisha kua maji si yenye magadi ama chumvi saana ikapunguza changamoto??
 
You don't even know what we were discussing with the guy I agree with his facts but the topic was how can water purification be done with the same price per unit because I know those systems are expensive.
Na mi nakazia hata iwe expensive vip, hawezikua 5k au 10k per unit.

Hata ikipanda kwa 2.5k per unit hamna shida hasa pakiwa na huduma ya uhakika, kwani tunapandishiwa vingapi?? Tozo, mafuta n.k tena huduma ikiwa chini ya kiwango.

Kitu sitaki ni ninyi wenye vijielimu kutuona watanzania ni wapumbavu yaani sio wajinga, hii sio sawa kabisa wa Tz tunauelewa sasa wa nn kilicho bora na nn duni
 
Sawa mkuu naona umeenda upande mwingine tofauti na mada ni sehemu nimekudharau na kuhusu elimu mimi sina elimu yoyote mkuu naona unatoka nje ya mada na sio ccm na sijawahi kuwa ccm na haitakaa itokee niwe ccm .
 
EWURA ndio wanapanga bei lakini kuna vigezo wanaangalia hiyo bei nimetolea mfano tu mimi by the way nilitoa maoni yangu generally ila ww unayafanya personal
 
Ni ma chawa wa cccm tuu nchi ndo wamejawa na impossibility kwenye issues za taifa ili wauze wapate cha udalali.

Ukimpitia huyo jamaa ametoa hadi mfano wa maeneo ambayo wamefanya izo water treatment na gharama haikua kubwa kama usemavyo (by then hukufanya cost analysis halisia)

Sasa unapobisha kwa ki research kimoja brother kama huna akili basi ni chawa wa ccm so usikatae
 
EWURA ndio wanapanga bei lakini kuna vigezo wanaangalia hiyo bei nimetolea mfano tu mimi by the way nilitoa maoni yangu generally ila ww unayafanya personal
Nafanya personal kwasababu na wewe umejibu personal.

Sikiza ndugu yangu, kwenye issue za kitaifa tuacheni masihala kabisaaaa, juilize anacholalamika raia mwezako ni valid au si valid???
Ni kweli kabisa badala ya kuungana mwenzako anapopata huduma mbovu wewe unasapoti serikali iendelee kufanya itakavyo kwa raia wake for no reason??
Kama ungewaza vizuri, tunapochagua viongozi ni kwasababu tunaamini wanaweza kutatua matatizo yetu.

Tunapo lalamika means tunaongeza presha ya wao kutumia akili zaidi kututoa hapa tulipo.
Hebu angalia wenzetu wazungu taasisi au kampuni ikifanya substandard inalipishwa faini kabisa kwa raia unafikiri wao hawana dharura au wote ni matajiri??

Lets be problem solver na si kukubali changamoto na kurizika ama kukimbia. Unaelemu nzur kwa level yako fanya iwe na faida kwa jamii yako
 
Yaani sisi atanzania kujisimamia hatuwezi kila kitu tunataka watufanyie wazungu na waarabu kuna mijitu imesoma mpaka phd udoctor na uprofessor. Lakini wapi kwanza ndo inakuwa mijizi sijui tupate wapi kama magufuri jamaani
 
Mtoto wa Chekechea: Mama Mama leo tumbo limeniuma sana shuleni

Mama: Mwanangu si nilikwambia tumbo likikuuma umwambie Mwalimu

Mtoto wa Chekechea: Sawa Mama Ila tumbo linauma sana

Mtoto huyo hunywa maji ya Dawasa
 
Back
Top Bottom