stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Sawa ndio mtuletee mimaji migumu huku mtaani kweli?RO inatoa madin yote kwenye maji yani hayo unayo yaona kwenye chapa ni dosing iyo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ndio mtuletee mimaji migumu huku mtaani kweli?RO inatoa madin yote kwenye maji yani hayo unayo yaona kwenye chapa ni dosing iyo,
Nani kasema hatupurify waste water?Tunabishana mkuu kwa mfano RO ya maji ya afya ni tofauti na kilimanjaro na uhai kama RO inafanya kazi 100% kwa nini tusi purify maji ya chumvi ndio maana nimesema mwanzoni it depends on the water source of the water to be purified if it's easier like that kwa nn tusi purify wastewater?
Ka unanijua niambie live nikuonyeshe showNi kweli maji ya chumvi huwa tunawaletea wateja wakorofi kama wewe usielipa bili kwa wakati.[emoji51]
Wapi wana purify wastewater zaidi ya ku maintains discharge standards tena sio sehemu zote sikia mkuu defluoridation and desalination it's expensive processes and requires large investments huwezi kuipata kwa kuuza unit moja ya maji 1800 au 2000 labda kama unit moja EWURA waseme dawasa wauze 5000 kwanza calcium hypochride tu yenyewe inayotumika kwenye water treatment ni expensive halafu unataka maji matamu kama ya kwa hela gani wakati hata bills hazilipwi kwa wakati usinidanganye mkuu hivi wastewater unaijua ww kama portable water tu tunashindwa ku purify halafu uniam tuna purify wastewater sehemu gani hyo wana systems hzo.Nani kasema hatupurify waste water?
Kwenye water treatment its not only about Quality kuna public concerns pia.
Kuhusu maji kuwa na Quality tofauti.
1.Technology diff Products used.
2. Recovery percentage in relation to quality of water source.
Pia maintainance ya hizo Plants.
Etc.
If that is true why weren't purifying seawater? Thats why I said it depends on the longevity and intensity of RO.RO inatoa madin yote kwenye maji yani hayo unayo yaona kwenye chapa ni dosing iyo,
Need ya kupurify waste water kwa matumizi ya Ndani ipo Bongo hii?Wapi wana purify wastewater zaidi ya ku maintains discharge standards tena sio sehemu zote.
Ni expensive wote tunajua hili ila ni affordable, kwani Walivyo install Deflouridation Pale Ngara Mtoni ilicost Tsh ngapi?Sikia mkuu defluoridation and desalination it's expensive processes and requires large investments huwezi kuipata kwa kuuza unit moja ya maji 1800 au 2000 labda kama unit moja EWURA waseme dawasa wauze 5000 kwanza calcium hypochride tu
Kwanini nikudanganye Mkuu? Ntapata nini nikikudanganya.usinidanganye mkuu hivi wastewater unaijua ww kama portable water tu tunashindwa ku purify halafu uniam tuna purify wastewater sehemu gani hyo wana systems hzo.
Need ya kupurify waste water kwa matumizi ya Ndani ipo Bongo hii?
Hatupurify kwa sababu hakuna Need hiyo ya maji.
Unaweza tofautisha maji yaliyopita kwenye SBR na maji ya Mtoni? Maji ya kwenye SBR yanaweza kuwa salama kuliko ya mtoni ( uwezekano).
Basi ungesema wastewater treatment unajua unaposema ku purify unaleta maana tofauti kabisa maana mtu anajua ni ya kunywa ila treatment it depends on the particular standard ya maji husika.
Ni expensive wote tunajua hili ila ni affordable, kwani Walivyo install Deflouridation Pale Ngara Mtoni ilicost Tsh ngapi?
Napo walihire kampuni, wangetumia internal experts ( kama wanao). Ingekuwa relatively cheaper kuliko ilivyokuwa.
Vipi Maji kutoka Ngaramtoni yaliuzwa Tsh ngapi kwa Unit?
Shida sio ku install defluoridation system au desalination system shida ni running costs ambazo haziendani na uhalisia wa huduma huwezi ukatumia system kama hizi halafu ukauza maji unit moja 1800 au 2000 ndio maana miradi inakufa kwasababu hizo operation costs ni kubwa kuliko kinachoingizwa na wateja mfano miradi ya ruwasa inakufa kwasababu hyo hyo kwasa EWURA wanakwambia uuze maji unit moja 1400 halafu uweke dawa ufanye coagulation na flocculation which is too expensive ndio maana wanaona bora liende tu.
Then Nadhani ulimaanisha Calcium Hypochlorite.
Hii inatumika kwenye Disinfenction tu, ambapo haijalishi Technology gani utatumia kutreat water, kudisinfect ni lazima.
Ndio hyo nimetolea mfano kuwa gharama yake ni kubwa hapo bado hujapiga gharama za coagulants na flocculants sasa kwa nini usiuziwe maji ya chumvi tatizo watu washazoea lawama kwa hyo hata mtu ukimuelewesha ni ngumu kuelewa.
Kwanini nikudanganye Mkuu? Ntapata nini nikikudanganya.
Tanzania hakuna sehemu Tunatumia Waste water kama source ya maji.
Ila haimaanishi inashindikana, Duniani kote the challenge with waste water recovery ni Public concern, namna watu wanavyoichukulia waste water na sio ability to Purify.
Watanzania hatuishi kulalama kweny kila kitu,unaropoka humu kumbe familia yako hat chumvi hujawaachia and then unaletewa hat hayo ya chumvi unalalamika. Hivi unakuwa sawa kiakili kweli?Hovyo kweli wewe umeskia hayo maji ya chumvi htrukonayo huku mtaanuz?
Tahira wewe kwangu nnakisma cha maji chumvi nimeonganisha dawasa ili nipate maji baridi sasa nisilalamike bill yangu analipa baba ako au basha ako mpaka unijie juu??Watanzania hatuishi kulalama kweny kila kitu,unaropoka humu kumbe familia yako hat chumvi hujawaachia and then unaletewa hat hayo ya chumvi unalalamika. Hivi unakuwa sawa kiakili kweli?
Kan'goe mita usiendelee kulipa,jinga kabisaTahira wewe kwangu nnakisma cha maji chumvi nimeonganisha dawasa ili nipate maji baridi sasa nisilalamike bill yangu analipa baba ako au basha ako mpaka unijie juu??
We ndo jinga mamvi wenzako wameweka sanduku la maoni na malalamiko unafikiri hawana akili ka wewe mamvi makavu??Kan'goe mita usiendelee kulipa,jinga kabisa
Taarifa ilishatolewa tangu last year kwamba kam kutakuwa na uhaba wa maji,yatatumika yale yaliyochimbwa kigamboni. Sasa unataka hilo sanduku la maoni uweke nini tena? Una shida mahali weweWe ndo jinga mamvi wenzako wameweka sanduku la maoni na malalamiko unafikiri hawana akili ka wewe mamvi makavu??
Kuna mtanzania asiyekua na shida mahali kwa jinsi taifa linavyoendeshwa???Taarifa ilishatolewa tangu last year kwamba kam kutakuwa na uhaba wa maji,yatatumika yale yaliyochimbwa kigamboni. Sasa unataka hilo sanduku la maoni uweke nini tena? Una shida mahali wewe
Nomekuelewa saana, tatizo hao jamaa unabishana nao ni machawa ya ccm ambayo kwao kila kitu ni gharama na ni impossible ilimradi yauze nchi.Need ya kupurify waste water kwa matumizi ya Ndani ipo Bongo hii?
Hatupurify kwa sababu hakuna Need hiyo ya maji.
Unaweza tofautisha maji yaliyopita kwenye SBR na maji ya Mtoni? Maji ya kwenye SBR yanaweza kuwa salama kuliko ya mtoni ( uwezekano).
Ni expensive wote tunajua hili ila ni affordable, kwani Walivyo install Deflouridation Pale Ngara Mtoni ilicost Tsh ngapi?
Napo walihire kampuni, wangetumia internal experts ( kama wanao). Ingekuwa relatively cheaper kuliko ilivyokuwa.
Vipi Maji kutoka Ngaramtoni yaliuzwa Tsh ngapi kwa Unit?
Then Nadhani ulimaanisha Calcium Hypochlorite.
Hii inatumika kwenye Disinfenction tu, ambapo haijalishi Technology gani utatumia kutreat water, kudisinfect ni lazima.
Kwanini nikudanganye Mkuu? Ntapata nini nikikudanganya.
Tanzania hakuna sehemu Tunatumia Waste water kama source ya maji.
Ila haimaanishi inashindikana, Duniani kote the challenge with waste water recovery ni Public concern, namna watu wanavyoichukulia waste water na sio ability to Purify.
Hamtuzibi mdomo na bill hatulipiKan'goe mita usiendelee kulipa,jinga kabisa
Uhalisia gani?? Kwakutuliza maji tope lituwame chini na kutia water guard?? Faida wanayoipata ni kubwa mno... wakiamu kutumia njia za kisasa kutreat maji magumu haiwezi kua gharama ivo... acha kujidharauInawezekana ila sio kwa unit moja kuuza 1400 halafu uwekeze kwenye hyo systems kama wapo tayari kuuziwa unit moja elfu 5000 au elfu 10000 sawa ila gharama bado zipo chini sana za kuuziwa maji Tanzania na haziendani na uhalisia.
Basi ungesema treatment unajua ukisema ku purify tu unaleta taswira tofauti
You know nothing about water treatment systems and it's operations so get your facts right before arguing about something it's only facts that is considered and all other nonsense factors are ignored ready to be corrected let's go with facts only.Uhalisia gani?? Kwakutuliza maji tope lituwame chini na kutia water guard?? Faida wanayoipata ni kubwa mno... wakiamu kutumia njia za kisasa kutreat maji magumu haiwezi kua gharama ivo... acha kujidharau
I know what I'm talking about because one day we conducted water quality monitoring in association with EWURA and one of the key factors cited why many water supply authorities they don't do regular dosing stated that it's operations costs doesn't match with price of water because those systems are expensive.Nomekuelewa saana, tatizo hao jamaa unabishana nao ni machawa ya ccm ambayo kwao kila kitu ni gharama na ni impossible ilimradi yauze nchi.
They are not problem solvers yanawaza upigaji tuu na substandard
Hata ungeandika kigiriki haibadilishi pumba ulizoandika hapaYou know nothing about water treatment systems and it's operations so get your facts right before arguing about something it's only facts that is considered and all other nonsense factors are ignored ready to be corrected let's go with facts only.