DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

Dawasa na ndugu zake naona ni taasisi zinazoendeshwa kizamani sana. Hakuna transformation
 
Wasalam,

Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu.

Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi?

Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali saana.

Mwenzi huu wote maji yao yamekua na changamoto ya chumvi kiasi ambacho unaogea kwa taabu na hata kufanyia shughuli zingine ikiwa pamoja na kunywa.

Ikiwa ni hali hii inatokana labda na kutikutegemea mito je kama ni visima ni kwamba DAWASA wameshindwa kutumia technology ya ku treat maji ya chumvi na ku ya stabilise?

Kwa hali hii je hamu hatarishi Afya zetu kwakuruhusu kutoa huduma kinyume na makubaliano ama huduma chini ya kiwango?
Maeneo mengi yanapata majichumvi kutokana na DAWASA kutumia visima vifupi kuliko vinavyochimbwa na watu binafsi, maji hayo yanaharibu mabomba na koki za chuma.
 
Utaiweza gharama ya maji ya chumvi kuyafanya yawe soft water au distilled kama hayo ya uhai?
Kama utaiweza achana na maji ya DAWASA kanunue maji ya uhai yapo kibao madukani.
We ubwa achakujifanya mjuaji we anaona ni haki tunapooziwa maji yanamna hi kwa bei ile ile??
Mi nimejaribu kueleza tatizo na suluhisho lake kutokana na uelewa wangu na wewe njoo na suluhisho na si kejeli otherwise unapita kushoto bila kukoment kama wengine
 
Maeneo mengi yanapata majichumvi kutokana na DAWASA kutumia visima vifupi kuliko vinavyochimbwa na watu binafsi, maji hayo yanaharibu mabomba na koki za chuma.
Nani anawasimamia hawa na hii hasara ya baadae??
 
😁😁😁😁saivi nyumbani wife anapiga Hela sana.hadi mupate majimasafi.
 
Maji ya chumbi huaribu mitambo yakitumika muda mrefu na si salama sana bora wayatibu ndio yaje kwa watumiaji.
 
Nani anawasimamia hawa na hii hasara ya baadae??
Mimi nililalamika sana na sampuli ya maji niliwapa, cha ajabu walipiga picha ndani ya tangi la maji wakatikomea, huu ni mwaka wa nne hola!
Kula kulingana na urefu wa kamba yako, unachukua milioni kumi mfano za kuchimba kisima kirefu unachimba kifupi cha milioni nne, si haba milioni sita kibindoni.
 
We ubwa achakujifanya mjuaji we anaona ni haki tunapooziwa maji yanamna hi kwa bei ile ile??
Mi nimejaribu kueleza tatizo na suluhisho lake kutokana na uelewa wangu na wewe njoo na suluhisho na si kejeli otherwise unapita kushoto bila kukoment kama wengine
Binadamu anawezaje kuongea na mbwa kama wote siyo mbwa?

Suluhisho lako halina uhalisia, madai ya kutaka maji yachakatwe kama ya chupa ya dukani kisha yauzwe kwa bei ya kawaida kama ya tape water ni utoto.

Wewe ungeomba punguzo la bei au ungedai uletewe maji ya kiwango cha ubora wa kawaida.

Umeongea kama mtoto mdogo au haujasoma kemia ya kiwango cha kidato cha pili.
 
Kwanza nikueleweshe nnambwa nafuga mbwa huwa nawasemesha wananielewa.

Pia mm.sio mkemia swala la gharama ni kufafanuliwa we umekuja kunikejeli lazima nikuwashe we chawa
 
Duuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!
Ku treat maji chumvi kuwa matamu ni gharama sana , dawasco ilitakiwa wageukie mto rufiji maana unamwaga maji tu baharini
 
Ni kweli mto Rufiji unaweza ukasaidia sana, ila swali la kujiuliza hakuna watu wanaoutumia mto huo kwa ajili ya kilimo!?!
 
Kutoka daraja la mkapa kwenda baharini hakuna shughuli za kilimo mto unamwaga maji tu baharini !!
 
Basi kuna haja ya kuusaidia mto Ruvu pia angalau ikiwa miwili naamini maji hayatasumbua sana hapa mjini.
 
Rufiji peke yake inauwezo wa kulisha hata mikoa mitano , sema mambo ya kitaalam yanaingiliwa na wanasiasa ndo hao wanakomaa na mto ruvu
 
Siasa na utaalamu havikai chungu kimoja hata sekunde moja.
 
Kwanza nikueleweshe nnambwa nafuga mbwa huwa nawasemesha wananielewa.

Pia mm.sio mkemia swala la gharama ni kufafanuliwa we umekuja kunikejeli lazima nikuwashe we chawa
If it makes you feel happy then call me a dog or a lice thousand times, it doesn't bother me as long as I know who I am.
Nilichotambua toka kwako ni emotional intelligence yako iko chini sana. Hujiamini ni vile unalipuka kwa matusi kabla ya kujenga hoja.
Haya Mimi ni mbwa na chawa Sasa turudi kwenye hoja kuu.
Acha kulialia na kulaumu badala ya kuomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom