Ujue tuachege ujuaji inawezekana Dawasco wanafanya makosa kuwapa wateja wake maji ya chumvi ila ww uloleta hii mada unajua garama ya mitambo yakubadili maji chumvi kua maji baridi
Tujifunze kufanya utafiti kabla ya kutoa ushauri
Ata nchi zenye uchumi mkubwa dunian hii technolojia hawana
😂😂😂😂
Ila JF, experts wanna be......
Maji chumvi kama wanayotumia DAWASA , ( ya kisima) yanatreatika Vizuri tu.
Hata hapa bongo watu wanatreat vizuri tu.
Issue ni wafanya maamuzi wana mentality zilizo pitwa na wakati.
Ipo siku nafasi hizo zitashikwa na wataalamu kweli, hapo ndio utaona mabadiliko.
If maji yana chumvi ambazo unaweza ukatest kwa mdomo kabisa, basi yana matakataka mengi sana Humo ndani.
Wakati mwingine yana Suspended particles, ambazo zina settle easily.
Inaonesha wameyachukua wakachrolinate afu basi.
Tunaishi karne ya 19, wakati dunia ipo karne ya 21.
Na huu ujinga unaanzia Chuoni wakati tunaandaa Engineers.
Tunabase kwenye Sand filters (slow and rapid ) afu tunaacha emerging techonlogies.
Ambazo, if properly taught. Tusingeskia kelele za Engineer hana Ajira.