Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi.
Ndg waandishi wa habari popote pale mnaposoma huu ujumbe fikeni kinyerezi saranga mjionee, mpate habari za kukosekana maji yapata mwezi wanne (04) sasa. Huyu mhandisi analeta siasa kwenye maisha ya binadamu. Kama maji yanafika kwake asipende kuuhadaa umma kwamba dsm ina maji.
Kwa kuwa waheshimiwa waandishi mnataka taarifa mfike, mpige na picha mpate taarifa mubashara kuwa mabomba yanaota kutu.
Ndgu Bwire usitake kudanganya, acha tuishi ila si kudanganya watu
Soma KERO - Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi