Unaweza kusema DAWASCO Kumbe tatizo liko kwako.....mfano mimi Bomba letu kutoka kwenye meter kuja ndani likikuwa linetoboka maji yanapotea chini Kumbe ni uchakavu wa mabomba yetu leakage kibao check system yako ya bomba Kabla hujaleta lawama dawasco pressure ya maji imeongezwa mabomba yazamani yanapasuka sanaDAWASA siku hizi hawaeleweki. Mita ya maji mwezi Juni ilisoma tumetumia unit 13. Mwezi wa saba hatukuepo nyumbani kwa wiki 2. Mita inasoma unit 8 ila meseji inaletwa umetumia unit 20.
Ukiwafuata ofisini (kituo cha Kawe) hawatoi ushirikiano. Either ulipe au ukatiwe maji. Wato wengi wanalalamika lakini naona hakuna mtu anatokea kuleta suluhisho.
Mh. Magufuli. Hawa DAWASA ni jipu.
Unaweza kusema DAWASCO Kumbe tatizo liko kwako.....mfano mimi Bomba letu kutoka kwenye meter kuja ndani likikuwa linetoboka maji yanapotea chini Kumbe ni uchakavu wa mabomba yetu leakage kibao check system yako ya bomba Kabla hujaleta lawama dawasco pressure ya maji imeongezwa mabomba yazamani yanapasuka sana
DAWASA mkuu .....hilo ndo umeona katika maelezo .....unaonekana unamajivuno sana ndo maana kawe hawakuelewi.....mbona wengine tunasikilizwa vizuri tuu na hatua zinafanywa vizuriNaongelea DAWASA mkuu. Hiyo DAWASCO unaijua wewe mwenyewe!
Bora hata huko. Sisi huku Makabe hata miundombinu hamnaHabari za asubuhi wadau? Kuna tatizo Mbezi Luis, mtaa wa Muhimbili, sijajua linasababishwa na nini? Kumewekwa mabomba muda sasa yapata mwaka mpaka sasa maji hayatoki.
DAWASA mkuu .....hilo ndo umeona katika maelezo .....unaonekana unamajivuno sana ndo maana kawe hawakuelewi.....mbona wengine tunasikilizwa vizuri tuu na hatua zinafanywa vizuri
INASHANGAZA KWA SERIKALI YA SASA INAYOPENDA WANANCHI WAKE NA BADO WATUMISHI KADHAA WANAACHA KUSAIDIA WATUNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866
Kuunganishwa maji tumelipia sasa mwezi hatujaunganishiwa ni stories za mita hazijaja, kwa nini mlitukimbiza kulipia haraka haraka? Poor DAWASA TABATA.
Yaani ni shida hawa jamaa.Hawa DAWASA Tabata sijui wapoje
Maji wiki ya 3 saiv hayatoki sijui wanatuonaje
Si mseme tu hamuwez kuhudumia watu waangalie namna nyingne?
Jirani yangu hapa mipira na konektaz vibaka wametembea navyo yapata miezi miwili sasa (hajahamia bado anakuja tu weekend kubarizi) dawasa wamemletea bili ya buku 30!Unaweza kusema DAWASCO Kumbe tatizo liko kwako.....mfano mimi Bomba letu kutoka kwenye meter kuja ndani likikuwa linetoboka maji yanapotea chini Kumbe ni uchakavu wa mabomba yetu leakage kibao check system yako ya bomba Kabla hujaleta lawama dawasco pressure ya maji imeongezwa mabomba yazamani yanapasuka sana