DAWASA yarekebisha eneo la Posta kulipokuwa na changamoto ya majitaka kutiririka barabarani

DAWASA yarekebisha eneo la Posta kulipokuwa na changamoto ya majitaka kutiririka barabarani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WhatsApp Image 2025-04-10 at 21.01.24_f0b5a8e2.jpg

WhatsApp Image 2025-04-10 at 21.01.25_4d21d282.jpg
UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta.

Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya majitaka kwa kuepuka kutupa taka ngumu katika mifumo hiyo ambapo hupelekea kuziba mara kwa mara.

Kwa huduma za uondoshaji majitaka tafadhali wasiliana nasi kupitia namba 0735 451 879.

Everlasting Lyaro
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
DAWASA

Pia Soma:
~
Chemba zilizokuwa zikitiririsha majitaka barabarani maeneo ya Posta (Dar) zimerekebishwa
~ Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?
 
Back
Top Bottom