DAWASA yawa mfano kwa Taasisi za Umma kuhusu Mawasiliano

DAWASA yawa mfano kwa Taasisi za Umma kuhusu Mawasiliano

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi.

Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu.

Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa usumbufu na migongano.

Kuna taasisi zimeweka namba za simu za (Mtandao Fulani siutaji hapa) ukipiga simu inaita tu haipokelewi, lakini Dawasa wameweka namba ya simu za Mikononi za wahusika.

Hii ni safi na iwe mfano kwa wengine wote.

Tuachane na mifumo ya piga sijui piga 022 Fax nk.
Screenshot_20250815_120245_WhatsApp.jpg
IMG-20250815-WA0013.jpg
 
Bila kukosea dawasa ni shirika la maji je dar maji yapo? Au mnakunywa harufu za mikojo? Bwashee?
Dar bila maji watu wangeishi? Hujui unaongea nini wewe, unaijua Dar kweli?. Sehemu ulipo ndo haina maji usiseme Dar. Piga simu waje wakuunganishie
 
Back
Top Bottom