Day 3: Waandamanaji Arusha wavamia kituo cha majumuisho ya kura

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.

Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.

Wananchi hao wanasindikizwa na wanajeshi

Yule msukuma feki mwenye tako kubwa hayupo kwani,
Inasikitisha sana mtu amabye USA ilimtaja kuhusika na mauaji alafu Serikali ya Samia inamkumbatia!

Mtu ambaye alivamia studio za Clouds TV akiwa na askari maalum wenye silahaa za moto alafu Serikali ya Samia inamkumbatia!

Mtu ambaye amepora mali za watu na za Serikali kwenye maeneo tofauti yakiwemo kwenye majiji ya Dar es Salaam na Arusha Serikali ya Samia inamkumbatua!

INAUZUNISHA, INASIKTISHA NA INATIA HASIRA!

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.

Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.

Wananchi hao wanasindikizwa na wanajeshi

View attachment 3496244
Kushughulikia vituo vya kura ni sawa kabisa. Hilo naunga mkono, hata kama itahusu nchi nzima. Kusiwe tu na uharibifu wa mali za uma, kama vile mabasi ya mwendokasi au nyumba za TRA. Hizo ni mali zetu wananchi na baada ya masuala haya ya mpito, tutazihitaji tena. Kama alivyosema mwingine juzi, nyoka akiingia nyumbani mwako, huichomi moto nyumba kwa matazamio ya kumuua.
 
Mimi kinacho nishangaza nikuona watumishi w umma ambao wamelewa likizo ya kufanyia kazi nyumbani wamekaa tu majumbani utadhani wana maisha mazuri sana au shida za watanzania haziwa husu. Tuna pigania maslahi mapana ya nchi, tutokeni wote tuchukue nchi hii , mnaogopa nini wakati huo serikali inaugural? Tunahitaji numbers kama mil10 turn over ili haya magaidi ya ccm yaachie nchi please.
 
wewe tunaongea lugha moja , wachome hata mabango ya ccm na mgombea wao lakini wasiguse mali hasa hasa za watu binafsi wametafuta kwa jasho mno, vya public bora hata tutapandishiwa kodi tutagawana mzigo 😀 😀
 
Mimi kinacho nishangaza nikuona watumishi w umma ambao wamelewa likizo ya kufanyia kazi nyumbani wamekaa tu majumbani utadhani wana maisha mazuri sana au shida za watanzania haziwa husu. Tuna pigania maslahi mapana ya nchi, tutokeni wote tuchukue nchi hii , mnaogopa nini wakati huo serikali inaugural? Tunahitaji numbers kama mil10 turn over ili haya magaidi ya ccm yaachie nchi please.
Sawa kabisa. Kwa hali iliyofikiwa, hakuna haja ya kuogopa. Uoga ulikuwa halali pale mwanzoni wakati haijulikani mambo yatakuwaje. Hivi sasa usalama wako unahakikishwa na Jeshi.
 
Yes, na Jeshi linshitaji Turn over yetu tuwe wengi kila mahali, utawala huu unaanguka , no more vikokotoo, tutoke wa wingi leo . Pia tuwe na vipasa Sauti tukiabdamana huku tuna watangazia wenzetu watoke.

Ndugu zangu hii ccm imetudharau sana na haiheshomu wananchi, ni wakati wa kuingusha.
 
Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.

Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.

Wananchi hao wanasindikizwa na wanajeshi

View attachment 3496244
Waandamanaji sasa wanapiga penyewe hasa!
 
Back
Top Bottom