Ajitokeze wamkate makalio yakeYule msukuma feki mwenye tako kubwa hayupo kwani, 😃😃😃
Inasikitisha sana mtu amabye USA ilimtaja kuhusika na mauaji alafu Serikali ya Samia inamkumbatia!Yule msukuma feki mwenye tako kubwa hayupo kwani,
Kushughulikia vituo vya kura ni sawa kabisa. Hilo naunga mkono, hata kama itahusu nchi nzima. Kusiwe tu na uharibifu wa mali za uma, kama vile mabasi ya mwendokasi au nyumba za TRA. Hizo ni mali zetu wananchi na baada ya masuala haya ya mpito, tutazihitaji tena. Kama alivyosema mwingine juzi, nyoka akiingia nyumbani mwako, huichomi moto nyumba kwa matazamio ya kumuua.Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.
Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.
Wananchi hao wanasindikizwa na wanajeshi
View attachment 3496244
wewe tunaongea lugha moja , wachome hata mabango ya ccm na mgombea wao lakini wasiguse mali hasa hasa za watu binafsi wametafuta kwa jasho mno, vya public bora hata tutapandishiwa kodi tutagawana mzigo 😀 😀Kushughulikia vituo vya kura ni sawa kabisa. Hilo naunga mkono, hata kama itahusu nchi nzima. Kusiwe tu na uharibifu wa mali za uma, kama vile mabasi ya mwendokasi au nyumba za TRA. Hizo ni mali zetu wananchi na baada ya masuala haya ya mpito, tutazihitaji tena. Kama alivyosema mwingine juzi, nyoka akiingia nyumbani mwako, huichomi moto nyumba kwa matazamio ya kumuua.
Sawa kabisa. Kwa hali iliyofikiwa, hakuna haja ya kuogopa. Uoga ulikuwa halali pale mwanzoni wakati haijulikani mambo yatakuwaje. Hivi sasa usalama wako unahakikishwa na Jeshi.Mimi kinacho nishangaza nikuona watumishi w umma ambao wamelewa likizo ya kufanyia kazi nyumbani wamekaa tu majumbani utadhani wana maisha mazuri sana au shida za watanzania haziwa husu. Tuna pigania maslahi mapana ya nchi, tutokeni wote tuchukue nchi hii , mnaogopa nini wakati huo serikali inaugural? Tunahitaji numbers kama mil10 turn over ili haya magaidi ya ccm yaachie nchi please.
Kivipi maelezo tafadhaliDuh hali inazidi kuwa mbaya
Yes, na Jeshi linshitaji Turn over yetu tuwe wengi kila mahali, utawala huu unaanguka , no more vikokotoo, tutoke wa wingi leo . Pia tuwe na vipasa Sauti tukiabdamana huku tuna watangazia wenzetu watoke.Sawa kabisa. Kwa hali iliyofikiwa, hakuna haja ya kuogopa. Uoga ulikuwa halali pale mwanzoni wakati haijulikani mambo yatakuwaje. Hivi sasa usalama wako unahakikishwa na Jeshi.
Waandamanaji sasa wanapiga penyewe hasa!Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo.
Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki.
Wananchi hao wanasindikizwa na wanajeshi
View attachment 3496244
Kabla ya kutangazwa, matokeo lazima yawe verifiable!Sasa hapa watasemaje? Kuwa zilishahesabiwa?
surely,itageuka civil war.Mkunda anataka Nchi iwe na miji mikuu miwili.