Day Trip Iringa

Day Trip Iringa

Aisee ile baridi ni shida, nimewauliza wenyeji wanasema wameizoea 🙌

Ukiwa na roho nyepesi unaweza usioge 😜

Iringa mjini unalalamika baridi hivyo mzee mwenzangu...

Ungesogea Mafinga, Ifunda, Sao hadi Makambako uone kiwanda cha baridi nchini...
 
We una roho nyepesi au tuachane na wewe??
Kwa kweli itakuwa nina roho nyepesi 😜

Nilikuwa naoga Maji ya moto Kila Siku plus nikitoka kwenda kula hapo Miami ama Royal nilikuwa nakaa Kwa ndani kule kuogopa baridi 🤗 🙌
 
Wahehe kawaida yao ndomaana wakinga wanawapiga bao
MKoa huu wakiingia wachaga wenyeji watalia sana, ni washamba sana kibiashara, ukiuliza vitu wanajibu kwa ukali kama wanadaiwa vikoba😂
 
Sio msimu wa ulanzi. Hutawakuta wengi sana..
Boss huku nilikuja wakati bado msimu upo, hata sasa wenye vitini kwenye vyanzo vya maji bado wanagema ulanzi na unapigwa kisawasawa
 
Kwa kweli itakuwa nina roho nyepesi 😜

Nilikuwa naoga Maji ya moto Kila Siku plus nikitoka kwenda kula hapo Miami ama Royal nilikuwa nakaa Kwa ndani kule kuogopa baridi 🤗 🙌
We phala miami ulifiata malaya wa chuo hahaha
 
Iringa mjini unalalamika baridi hivyo mzee mwenzangu...

Ungesogea Mafinga, Ifunda, Sao hadi Makambako uone kiwanda cha baridi nchini...
Nahisi Mwezi huu June itakuwa imezidi, haipo kawaida ile

Nililala Makambako Siku Moja nikaomba wanipe blanket 2, maana baridi ilikuwa inapiga balaa

The other day nilienda Njombe ndani ndani huko, kwenyewe napo ni zaidi ya Makambako

Maana sio Kwa baridi ile

Nahisi Uzee huu unachangia baridi kunionea 🤗
 
Back
Top Bottom