Njoo unione mimi.Ni mbuga tosha mkuu.Watu mnakula bata jaman๐.ngoja na mimi niendelee kujitafuta siku moja niende japo Mbuga za wanyama
Sitaki.
Hahaaaa, karibu hapa Mochwari utanikuta na rafiki yangu Prosper Mahelasa Lukosi hapo Mochwari tunapiga moja na mbili.Kuna chimbo wanaita mochwari, ila nenda ukiwa umelewa.
We una roho nyepesi au tuachane na wewe??Aisee ile baridi ni shida, nimewauliza wenyeji wanasema wameizoea ๐
Ukiwa na roho nyepesi unaweza usioge ๐
Sawa Mchumba wetu siku tutafika hukoNdio
Mchumba ako na nani tena?Sawa Mchumba wetu siku tutafika huko
Neno la mwisho kwenye komenti yako nimesisitiza sana.Unaeza enda sehemu moya wanaita kihesa kilolo, kuna swing/slide ya kamba toka upande mmoja hadi mwingine. Kabembee mkuu ๐๐.
Pia usisahau kupata ulanzi.
Aisee ile baridi ni shida, nimewauliza wenyeji wanasema wameizoea ๐
Ukiwa na roho nyepesi unaweza usioge ๐
Kwa kweli itakuwa nina roho nyepesi ๐We una roho nyepesi au tuachane na wewe??
Babu ukutafuta mlimbwende akupunguzie joto lake?Kwa kweli itakuwa nina roho nyepesi ๐
Nilikuwa naoga Maji ya moto Kila Siku plus nikitoka kwenda kula hapo Miami ama Royal nilikuwa nakaa Kwa ndani kule kuogopa baridi ๐ค ๐
Nipo hapa Makambako nimevaa "singilendi" muda huu.!Utakoma ubishi.Aisee ile baridi ni shida, nimewauliza wenyeji wanasema wameizoea ๐
Ukiwa na roho nyepesi unaweza usioge ๐
Ushashusha bapa ngapi mpaka sasa hapo Mochuari?Hahaaaa, karibu hapa Mochwari utanikuta na rafiki yangu Prosper Mahelasa Lukosi hapo Mochwari tunapiga moja na mbili.
Leo umepindua MezaMchumba ako na nani tena?
Nahisi Mwezi huu June itakuwa imezidi, haipo kawaida ileIringa mjini unalalamika baridi hivyo mzee mwenzangu...
Ungesogea Mafinga, Ifunda, Sao hadi Makambako uone kiwanda cha baridi nchini...
Mchumba angu ni wewe tuLeo umepindua Meza