Day Trip Iringa

Day Trip Iringa

Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini.

Ninatanguliza shukrani.

Glenn
Image,Kalenga,Isimila na Nduli.
NB;Nimepakumbuka sana Iringa. Nilikuwa nakunywa msabe,ulanzi na kimpumu pale kilabu cha Wipinye au Mahaba Niue.
 
Nenda kule kwenye michoro ya kale...
 
Image,Kalenga,Isimila na Nduli.
NB;Nimepakumbuka sana Iringa. Nilikuwa nakunywa msabe,ulanzi na kimpumu pale kilabu cha Wipinye au Mahaba Niue.
Nduli hii hii ya airport? Kuna nini mkuu?
Kwa ulevi Iringa iko juu, si ajabu kuona mabinti wadogo wapo klabuni alfajiri haha
 
Back
Top Bottom