swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Mbona rahisi tu si huyo Mwaikali na wafuasi wake waanzishe kanisa Lao.. mbona watu wa kawaida kabisa wasio hata na degree moja ya theolojia wameanzisha makanisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imenikumbusha mbali Askofu Koda 1999 SameHapa ndipo kuliko na Utofauti wa uaskofu wa KKKT Na ule wa RC.
RC askofu anaenguliwa na hawezi kutunisha msuli.
RC ingekuwa kama KKKT ingekuwa shughuli kumuengua Askofu Koda wa Same
Tatizo sio kuenguliwa, ni nani anayemuengua?? Tatizo ni madaraka, tamaa ya fedha na ubinafsi, na wengi wa wafuasi ambao hawajui kilichomo ndani wanashabikia tuuHapa ndipo kuliko na Utofauti wa uaskofu wa KKKT Na ule wa RC.
RC askofu anaenguliwa na hawezi kutunisha msuli.
RC ingekuwa kama KKKT ingekuwa shughuli kumuengua Askofu Koda wa Same
Ulichozungumza ni sahihi kabisa, Rungwe wao ndio wanajiona wenye Dayosisi na hawatak mabadiliko yoyote, wanachopigania ni madaraka tu na ufujaji wa Mali za kanisa, Dayosisi ya konde ilipaswa iwe Dayosisi yenye maendeleo lakini unaona hamna kitu, shule iko Moja nayo inaelekea kufa.Nyie watu wa Rungwe naona mmechukua nafasi ya Mungu. Mnajifanya wenye haki, mkihukumu wenzenu. Wakati ninyi ndio sehemu kubwa ya mgogoro. Mngekuwa na hekima ya kiMungu msingefika hapa.
Shida ni viongozi hao hao huko juu ndio wanapandikiza chuki,Kwa tamaa ya madarakaKugawanyika konde ni kupumu sababu ule mgogoro sio wa waumini
Waumini hawana shida ungekuwa mkubwa na kuleta mgawanyiko kama ungekuwa mvutano wa waumini
Pale mleta vurugu ni huyo Aliyekuwa Askofu Mwakikali na viongozi wachache .Kwa waumini hakuna shida.Hivyo hata aseme anaandika leo ataondoka na hao viongozi wachache sio waumini
Mnatumia neno la mungu kunufaisha matumbo yenu. Mshindwe na mlegeeUpuuzi kwako uliyekosa maono.
Haya mambo ni dhahiri hata kwa mtoto mchanga.
Kifupi Kyela nako kuna shidaNyie watu wa Rungwe naona mmechukua nafasi ya Mungu. Mnajifanya wenye haki, mkihukumu wenzenu. Wakati ninyi ndio sehemu kubwa ya mgogoro. Mngekuwa na hekima ya kiMungu msingefika hapa.
Momba Kuna usharika unaitwa Kamsamba kutoka huko Mpaka Mbeya mjini kipindi cha kiangazi ni elf 10, kutoka mby Mpaka Tukuyu 3000, na hauwezi kwenda na kurudi lazima ulale hizo gharama za Kulala na kula ni juu yakoNaona Mwaikali waa
shamuondoa amechaguliwa Mwakihaba. Tutarajie makao makuu ya Dayosisi kurudi Tukuyu. Lakini wanyakyusa sisi ni wabinafsi sana! Kulikuwa na shida gani Dayosisi kuhamia katikati ya mji? Mtu anayetoka Momba au Tunduma kufuata huduma za ki dayosisi ilikuwa mpaka aende Tukuyu wakati pale Mbeya mjini angepunguza gharama
Kweli ila tunapaswa kujua Mungu ni mkuu kupitia mafarakano yao tunapata kujua mengiKweli mkuu lakini siye watu wa kawaida tunaenda makanisani kuomba, kutubu na kumuimbia sifa Mungu.
Tukikuta mfarakano usioisha tunakatishwa sana tamaa.
Yu mwepesi wa kuhukumu, usifike huko.Nyie watu wa Rungwe naona mmechukua nafasi ya Mungu. Mnajifanya wenye haki, mkihukumu wenzenu. Wakati ninyi ndio sehemu kubwa ya mgogoro. Mngekuwa na hekima ya kiMungu msingefika hapa.
Dr Mwaikali mnataka akale polisi?Kuna kila dalili kwamba Dayosisi ya Konde KKKT inaweza kutawanyika na kubaki vipande vipande.
Ibilisi ameota mizizi ndani ya Konde, tena Ibilisi mwenye mapembe yake ya kiburi, hasira, ukaidi, utenganisho, fitna na kiujumla kupotea kabisa kwa upendo.
Kwa wengi tuliodhani ujio wa Dr Mwaikali ambaye ni kijana,kwa maono mapana ilikuwa ni heri kwa Kanisa.
Lakini hii miaka yake minne/mitano imekuwa ya ugomvi, kutoelewana na tabia zote zinazomwinua Ibilisi.
Wakristo wa Dayosisi hii tuombe sana.
Baada ya kikao cha Baba Askofu Shoo, Mkuu wa Kanisa KKKT cha tarehe 22/2/2022, huko Kyela na hata Mbeya Ruanda wafuasi wa Mwaikali wametoa matamko ya kumuunga mkono Askofu aliyeenguliwa na Mkutano Mkuu wa Dayosisi.
Hata hivyo Ibilisi hawezi kushinda mbele ya Mungu, maana atashindwa kama alivyoshindwa kale.
Tusali sana kuombea Dayosisi ya Konde KKKT.
Na mimi nitakuambia kuna sharika toka Isongole na Itumba Ileje kuliko kwenda Tukuyu ni afadhali kwenda Mbeya mjini kuliko kupita chocho za IlejeMomba Kuna usharika unaitwa Kamsamba kutoka huko Mpaka Mbeya mjini kipindi cha kiangazi ni elf 10, kutoka mby Mpaka Tukuyu 3000, na hauwezi kwenda na kurudi lazima ulale hizo gharama za Kulala na kula ni juu yako
Kumbe hyo dayosii inakocover had uko kamsamba,ivuna pia nilidhani Ni dayoss ya tukuyu na pia Kuna ya mjini kumbe Ni moja inayohudumia sharika zote karibia zote za mbeyaMomba Kuna usharika unaitwa Kamsamba kutoka huko Mpaka Mbeya mjini kipindi cha kiangazi ni elf 10, kutoka mby Mpaka Tukuyu 3000, na hauwezi kwenda na kurudi lazima ulale hizo gharama za Kulala na kula ni juu yako
Dayosisi kubwa Sana aisee,Kumbe hyo dayosii inakocover had uko kamsamba,ivuna pia nilidhani Ni dayoss ya tukuyu na pia Kuna ya mjini kumbe Ni moja inayohudumia sharika zote karibia zote za mbeya
Saas kumbe mwaikali ameona mbali ninvyema huduma hyo ikapatikana pale mbeya mjini itapendeza Zaid kuliko kupeleka huko migombani rungwe
Yes hapo nimeonyesha mfano mmoja tu Bado haujagusa mkwajuni maana na yenyewe Iko upande wa huku kondeNa mimi nitakuambia kuna sharika toka Isongole na Itumba Ileje kuliko kwenda Tukuyu ni afadhali kwenda Mbeya mjini kuliko kupita chocho za Ileje
AhahahahaNakazia