MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Kwanza kabisa kwa nini hii dayosisi iajengwa Manow na Sii Mbeya Mjini??? Konde kuna nini?
Naona Mwaikali waa
shamuondoa amechaguliwa Mwakihaba. Tutarajie makao makuu ya Dayosisi kurudi Tukuyu. Lakini wanyakyusa sisi ni wabinafsi sana! Kulikuwa na shida gani Dayosisi kuhamia katikati ya mji? Mtu anayetoka Momba au Tunduma kufuata huduma za ki dayosisi ilikuwa mpaka aende Tukuyu wakati pale Mbeya mjini angepunguza gharama