Dayosisi ya Konde KKKT kutawanyika?

Dayosisi ya Konde KKKT kutawanyika?

Ulichozungumza ni sahihi kabisa, Rungwe wao ndio wanajiona wenye Dayosisi na hawatak mabadiliko yoyote, wanachopigania ni madaraka tu na ufujaji wa Mali za kanisa, Dayosisi ya konde ilipaswa iwe Dayosisi yenye maendeleo lakini unaona hamna kitu, shule iko Moja nayo inaelekea kufa.

Eti Ibilisi ameingia kanisani, Ibilisi hawezi akaingia Sehemu hana washirika wake,kama askofu Mwaikali alikuwa hafai na kanisa limesimama katika msingi angeondolewa kupitia uchaguzi alipomaliza miaka yake 4, wala haya yote yasingekuwepo, ila wapo watu ambao tunasema ni viongozi wanapandikiza chuki miongoni mwa watu wakifikiri itawasaidia.

Wachungaji wanafukuzwa makanisani, askofu mwenyewe amefukuzwa hapo Tukuyu, Mpaka kwenye msiba ameondolewa hapo ndio mnamfukuza Shetani?
Uko sahihi kabisa. Wamemsingia Mwaikali kila kitu. Wao wana nguvu za ndugu na jamaa zao wanaotumia serikali na vyombo vya habari kulichezea kanisa. Watu wamedanganywa kuhusu chanzo cha mgogoro, kwa makusudi ili nia yao itimie.
 
Kifupi Kyela nako kuna shida

Akishika Askofu toka Kyela lazima ahamishe Dayosisi

Wakati Askofu alitokea Kyela Askofu Mwakisunga aliposhika Uaskofu alihamisha makao makuu ya Dayosisi kutoka Manow akapeleka Tukuyu.Baadaye kaja huyu Askofu mwingine toka Kyela huyo aliyeondolewa Mwakikali naye anataka kuhamisha makao makuu ya Daypsisi tena kutoka Tukuyu yaenda.Mbeya mjini!!

Kuhamisha makao makuu ni ghararama kubwa kwa waumini
Mkuu wazee walionisimulia wanasema Mwakisunga nia yake ilikuwa kuipeleka Dayosisi mjini Mbeya, ila upinzani ulipokuwa mkubwa zaidi, waliamua wote wapoteze, kwa kuisogeza Tukuyu. Ijapokuwa plan ya muda mrefu ilikuwa kuipeleka Mbeya mjini.
 
Muwe mnafuatilia kabla ndio mchangie, mkuu wewe imeonyesha huelewi huu mgogoro umeanzia wapi ila umeamua kuchagua upande kwa kutumia hisia na sio "ukweli"

Mwaikali na wafuasi wake pia washaifukuza kwaya moja kutoka Tukuyu pale KKKT Mbalizi.

Narudia tena fuatilia A to Z ya huu mgogoro ndio utajuwa ni kiasi gani Mwaikali mp

Tena inafika hadi tunduma huko.. na inapitiliza kama unaelekea sumbawanga.

Mtu wa tunduma kufunga safari hadi tukuyu ni adhabu
Ubinafsi ukimtawala mtu unafikir hilo ataliwaza?
 
Uko sahihi kabisa. Wamemsingia Mwaikali kila kitu. Wao wana nguvu za ndugu na jamaa zao wanaotumia serikali na vyombo vya habari kulichezea kanisa. Watu wamedanganywa kuhusu chanzo cha mgogoro, kwa makusudi ili nia yao itimie.
Shida hawataki Dayosisi ihame Tukuyu, dawa ni kugawanya tu
 
Hapa ndipo kuliko na Utofauti wa uaskofu wa KKKT Na ule wa RC.
RC askofu anaenguliwa na hawezi kutunisha msuli.
RC ingekuwa kama KKKT ingekuwa shughuli kumuengua Askofu Koda wa Same
Tatizo sio huko monde tu hata kule dayosisi ya kaskazini ni shida tupu mkuu nilienda kusali kanisa LA Ilboru nikakutana na tangazo kwamba kuna Mchungaji anaitwa Philemon ameandika barua ya kuacha Mchungaji na amefungua kanisa lake analiita tawi LA Kkkt . hivyo waumini wao wametangaziwa kwamba huyo hatambuliki tena kkkt asiwapotoshe watu. Sasa najiuliza haya makanisa ya kkkt tatizo LA migogoro kila siku ni nini? Mbona wasabato hawana kelele ? Hata katoliki hakuna kelele. Nazani tatizo LA hawa maaskofu wa kkkt ni kuchanganya siasa na dini wengi wao wameingia kwenye biashara ya siasa wakasahau kwamba wameitwa,kutumika madhabahuni. Taamaa ya pesa za wanasiasa ndio zimeharibu makanisa ya kkkt . Wakitulia na kukaa mbali na Siasa migogoro haitakuwepo wala ubabe hautakuwepo. Maaskofu kkkkt kaeni mbali na siasa mtaua makanisa
 
Uko sahihi kabisa. Wamemsingia Mwaikali kila kitu. Wao wana nguvu za ndugu na jamaa zao wanaotumia serikali na vyombo vya habari kulichezea kanisa. Watu wamedanganywa kuhusu chanzo cha mgogoro, kwa makusudi ili nia yao itimie.
Kama unakifahamu chanzo kingine cha mgogoro huu na si kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwa hila, liweke wazi.
Hakuna kudanganyana hapa.
 
Kama unakifahamu chanzo kingine cha mgogoro huu na si kuhamisha makao makuu ya Dayosisi kwa hika, kiweke wazi.
Hakuna kudanganyana hapa.
Kuhamisha Dayosisi tu, ndio uwe ushetani?? Ndio awe mkatili? Mwenye kiburi, asiyesikia?? Hapo alikuwa anaipeleka katikati ingekuwa anaipeleka kwao kyela ingekuaje?
 
Tatizo sio huko monde tu hata kule dayosisi ya kaskazini ni shida tupu mkuu nilienda kusali kanisa LA Ilboru nikakutana na tangazo kwamba kuna Mchungaji anaitwa Philemon ameandika barua ya kuacha Mchungaji na amefungua kanisa lake analiita tawi LA Kkkt . hivyo waumini wao wametangaziwa kwamba huyo hatambuliki tena kkkt asiwapotoshe watu. Sasa najiuliza haya makanisa ya kkkt tatizo LA migogoro kila siku ni nini? Mbona wasabato hawana kelele ? Hata katoliki hakuna kelele. Nazani tatizo LA hawa maaskofu wa kkkt ni kuchanganya siasa na dini wengi wao wameingia kwenye biashara ya siasa wakasahau kwamba wameitwa,kutumika madhabahuni. Taamaa ya pesa za wanasiasa ndio zimeharibu makanisa ya kkkt . Wakitulia na kukaa mbali na Siasa migogoro haitakuwepo wala ubabe hautakuwepo. Maaskofu kkkkt kaeni mbali na siasa mtaua makanisa
Mimi nafikiri wanaweza kuwa manage wachungaji kama watafuata mfumo wa RC kwa mapadre, kwamba mchungaji hakai sehemu moja zaidi ya miaka 3 hata afanye vzr namna gani ahamishwe akafanye vzr sehemu nyingine tena.

Sasa mchungaji KKKT anakaa sehemu moja mpaka anaona kama hilo kanisa analoongoza ni lake, akihamishwa anagoma na migogoro kibao.
Natoa Mifano sio kwa ubaya, chukulia mfano wa mchungaji Eliona Kimaro wa kijitonyama au mchungaji Matsai wa Kimara. Too late kuweza kuwa manage kama wakiamua kuwa viburi
 
Chanzo Cha yote haya ni sadaka zetu nashauri tusitoe sadaka Tena tuone Kama hawatojiuzuru
 
Na badoo... hayo MAGENGE yenu laizma yaishe yoote.

Mnamsingizia shetan wakat mashetan ni hao wachungaji na maaskofu wenu mnaowapa sadaka zenu na kutajirisha madhehebu ya mkoloni.

Hakuna Mungu ktk hizo dini ngeni, Mungu hatambui hayo magenge yenu, maana hata ktk maandiko yake aliwaambia Kanisa ni wew mtu mmoja mmoja na sio hayo makutano yenu na majengo yenu ya uongo.

Huu ni mwanzo tu, itafika wakat mtafarakana maana hizi dini namna zilivyokuja ndivyo zitakavyoondoko, hakuna jambo lidumulo milele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Acha mvurugane
FB_IMG_16095048482229044.jpg

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili kwamba Dayosisi ya Konde KKKT inaweza kutawanyika na kubaki vipande vipande.

Ibilisi ameota mizizi ndani ya Konde, tena Ibilisi mwenye mapembe yake ya kiburi, hasira, ukaidi, utenganisho, fitna na kiujumla kupotea kabisa kwa upendo.

Kwa wengi tuliodhani ujio wa Dr Mwaikali ambaye ni kijana,kwa maono mapana ilikuwa ni heri kwa Kanisa.
Lakini hii miaka yake minne/mitano imekuwa ya ugomvi, kutoelewana na tabia zote zinazomwinua Ibilisi.

Wakristo wa Dayosisi hii tuombe sana.

Baada ya kikao cha Baba Askofu Shoo, Mkuu wa Kanisa KKKT cha tarehe 22/2/2022, huko Kyela na hata Mbeya Ruanda wafuasi wa Mwaikali wametoa matamko ya kumuunga mkono Askofu aliyeenguliwa na Mkutano Mkuu wa Dayosisi.

Hata hivyo Ibilisi hawezi kushinda mbele ya Mungu, maana atashindwa kama alivyoshindwa kale.
Tusali sana kuombea Dayosisi ya Konde KKKT.
Huyu askofu kaona Tukuyu ni pa kishamba sana hadi apeleke Mbeya.kweli mkataa kwao ni mtumwa.
 
Kuna kila dalili kwamba Dayosisi ya Konde KKKT inaweza kutawanyika na kubaki vipande vipande.

Ibilisi ameota mizizi ndani ya Konde, tena Ibilisi mwenye mapembe yake ya kiburi, hasira, ukaidi, utenganisho, fitna na kiujumla kupotea kabisa kwa upendo.

Kwa wengi tuliodhani ujio wa Dr Mwaikali ambaye ni kijana,kwa maono mapana ilikuwa ni heri kwa Kanisa.
Lakini hii miaka yake minne/mitano imekuwa ya ugomvi, kutoelewana na tabia zote zinazomwinua Ibilisi.

Wakristo wa Dayosisi hii tuombe sana.

Baada ya kikao cha Baba Askofu Shoo, Mkuu wa Kanisa KKKT cha tarehe 22/2/2022, huko Kyela na hata Mbeya Ruanda wafuasi wa Mwaikali wametoa matamko ya kumuunga mkono Askofu aliyeenguliwa na Mkutano Mkuu wa Dayosisi.

Hata hivyo Ibilisi hawezi kushinda mbele ya Mungu, maana atashindwa kama alivyoshindwa kale.
Tusali sana kuombea Dayosisi ya Konde KKKT.
Sasa hapo ibilisi ni nani? Askofu Dk. Mwaikali au Askofu Dk. Shoo?😄
 
Dk. Mwaikali alikuwa mwalimu wangu pale RUCU, mwaka 2015. Hakuwahi kuonekana kama ni mchungaji na sidhani kama kabla ya kuwa Askofu, amewahi kuwa mchungaji. Inawezekana ameshindwa kuongoza vyema sababu ya kukosa uzoefu wa kuongoza waumini.
 
Niwe mkweli, Dr Edward Mwaikali ni mchungaji wa siku nyingi aliyeheshimika.
Hata hivyo baada ya kupata Uaskofu ndiyo true colours za tabia yake zimejitokeza.
Hazipendezi.
 
Aisee kipindi chote alichonifundisha sikufahamu kabisa kama alikuwa ni mchungaji. Yaani hakuonesha uchungaji hata kidogo, alikuwa kama mtu wa kawaida tu., hata kora sikuwahi muona akiwa amevaa. Ahsante kwa kunijuza
 
Kuhamisha Dayosisi tu, ndio uwe ushetani?? Ndio awe mkatili? Mwenye kiburi, asiyesikia?? Hapo alikuwa anaipeleka katikati ingekuwa anaipeleka kwao kyela ingekuaje?
Mtu wa ngazi ya Uaskofu anatakiwa kuwa si mtu wa mikakati, makundi, awe anashaurika na akikosea awe ana kubali makosa na kujishusha.
Ujio wa Maaskofu wengine kwenye mgogoro ni kwa sababu ya ukaidi, kiburi na ung'ang'anizi ambao haukutegemewa toka kwake.
HAKIKA tabia hii ingejulikana toka mwanzo hata Uaskofu asingepewa.
 
hivi hili jina la Konde lilitikea wapi? maana napata hisia za Konde gang au Kondeni
 
Kuna kila dalili kwamba Dayosisi ya Konde KKKT inaweza kutawanyika na kubaki vipande vipande.

Ibilisi ameota mizizi ndani ya Konde, tena Ibilisi mwenye mapembe yake ya kiburi, hasira, ukaidi, utenganisho, fitna na kiujumla kupotea kabisa kwa upendo.

Kwa wengi tuliodhani ujio wa Dr Mwaikali ambaye ni kijana,kwa maono mapana ilikuwa ni heri kwa Kanisa.
Lakini hii miaka yake minne/mitano imekuwa ya ugomvi, kutoelewana na tabia zote zinazomwinua Ibilisi.

Wakristo wa Dayosisi hii tuombe sana.

Baada ya kikao cha Baba Askofu Shoo, Mkuu wa Kanisa KKKT cha tarehe 22/2/2022, huko Kyela na hata Mbeya Ruanda wafuasi wa Mwaikali wametoa matamko ya kumuunga mkono Askofu aliyeenguliwa na Mkutano Mkuu wa Dayosisi.

Hata hivyo Ibilisi hawezi kushinda mbele ya Mungu, maana atashindwa kama alivyoshindwa kale.
Tusali sana kuombea Dayosisi ya Konde KKKT.
Popote alipo mnyakyusa lazima migogoro ya Dini iwepo,hapo ni wao kwa wao lakini huwa wanataka wao tuu ndio wawe viongozi.
 
hivi hili jina la Konde lilitikea wapi? maana napata hisia za Konde gang au Kondeni
Konde ni jina tohoa toka Ngonde.
Wajerumani ndio walikuwa wa kwanza kuwaita wanyakyusa kuwa watu wa ngonde.
Nao makzi yao haswa ni kuzunguka mti Songwe, lakini wametapakaa hadikaribu na mlima rungwe.

"Historically, they were called the 'Ngonde' below the Songwe River in British Nyasaland, and 'Nyakyusa' above the river in German territory. The two groups were identical in language and culture, so much so that the Germans referred to the Nyakyusa region above the Songwe River and its people as 'Konde', at least until 1935."
~wikipedia
 
Back
Top Bottom