MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Naona Mwaikali waa
shamuondoa amechaguliwa Mwakihaba. Tutarajie makao makuu ya Dayosisi kurudi Tukuyu. Lakini wanyakyusa sisi ni wabinafsi sana! Kulikuwa na shida gani Dayosisi kuhamia katikati ya mji? Mtu anayetoka Momba au Tunduma kufuata huduma za ki dayosisi ilikuwa mpaka aende Tukuyu wakati pale Mbeya mjini angepunguza gharama
Ameenguliwa na mkutano mkuu wa dayosisi ambao ndio chombo kilichomteua na kina mamlaka hayo.Tatizo sio kuenguliwa, ni nani anayemuengua?? Tatizo ni madaraka, tamaa ya fedha na ubinafsi, na wengi wa wafuasi ambao hawajui kilichomo ndani wanashabikia tuu
Aanzishe kampuni ya dini.Mbona rahisi tu si huyo Mwaikali na wafuasi wake waanzishe kanisa Lao.. mbona watu wa kawaida kabisa wasio hata na degree moja ya theolojia wameanzisha makanisa?
Ndio dawa pekeeSuluhisho ni kutokwenda kusali, na kutotoa sadaka
Ni kweli mkuu,kuwapa sadaka na fungu la kumi ndio kuwapa nguvu ya kuzigombania vizuri.Ndio dawa pekee
Saas mkwajuni s songwe hyo au Bado hawajapata Jimbo la kiuwaskofuYes hapo nimeonyesha mfano mmoja tu Bado haujagusa mkwajuni maana na yenyewe Iko upande wa huku konde
Mkoa wa songwe haujapata hadhi hiyo na pengine ungepata huo mvutano usingekuwepo, Ileje, mbozi, momba na mkwajuni zingekuwa na Dayosisi yao, ila Kwa Sasa hivi zote ziko chini ya Dayosisi ya KondeSaas mkwajuni s songwe hyo au Bado hawajapata Jimbo la kiuwaskofu
Yaani mkoa wa songwe Bado hawajapata hadh ya kuwa na askofu wake
Hao wote ni Iblisi tu.Uelewe mgogoro wenyewe kwanza.
Kanisa limevamiwa na Ibilisi.
Tatizo mnafikiri Tukuyu na Kyela mjini ambako nauli ni sh 3000 na 5000 ndio kwa wanyakyusa mnasahau kuna watu wa Ngonde,Isange na maeneo mengine ambayo ni either mbali au usafiri ni wa tabu!Naona Mwaikali waa
shamuondoa amechaguliwa Mwakihaba. Tutarajie makao makuu ya Dayosisi kurudi Tukuyu. Lakini wanyakyusa sisi ni wabinafsi sana! Kulikuwa na shida gani Dayosisi kuhamia katikati ya mji? Mtu anayetoka Momba au Tunduma kufuata huduma za ki dayosisi ilikuwa mpaka aende Tukuyu wakati pale Mbeya mjini angepunguza gharama
Muwe mnafuatilia kabla ndio mchangie, mkuu wewe imeonyesha huelewi huu mgogoro umeanzia wapi ila umeamua kuchagua upande kwa kutumia hisia na sio "ukweli"Ulichozungumza ni sahihi kabisa, Rungwe wao ndio wanajiona wenye Dayosisi na hawatak mabadiliko yoyote, wanachopigania ni madaraka tu na ufujaji wa Mali za kanisa, Dayosisi ya konde ilipaswa iwe Dayosisi yenye maendeleo lakini unaona hamna kitu, shule iko Moja nayo inaelekea kufa.
Eti Ibilisi ameingia kanisani, Ibilisi hawezi akaingia Sehemu hana washirika wake,kama askofu Mwaikali alikuwa hafai na kanisa limesimama katika msingi angeondolewa kupitia uchaguzi alipomaliza miaka yake 4, wala haya yote yasingekuwepo, ila wapo watu ambao tunasema ni viongozi wanapandikiza chuki miongoni mwa watu wakifikiri itawasaidia.
Wachungaji wanafukuzwa makanisani, askofu mwenyewe amefukuzwa hapo Tukuyu, Mpaka kwenye msiba ameondolewa hapo ndio mnamfukuza Shetani?
Wanyakyusa acheni itikadi za kutafta pesa kupitia diniMuwe mnafuatilia kabla ndio mchangie, mkuu wewe imeonyesha huelewi huu mgogoro umeanzia wapi ila umeamua kuchagua upande kwa kutumia hisia na sio "ukweli"
Mwaikali na wafuasi wake pia washaifukuza kwaya moja kutoka Tukuyu pale KKKT Mbalizi.
Narudia tena fuatilia A to Z ya huu mgogoro ndio utajuwa ni kiasi gani Mwaikali mpuuzi.
Typical mtanzania yaani unataka nikuelezee trend ya matukio tangu mgogoro unaanza mpaka ulipofikia si nitajaza server za JF!Wanyakyusa acheni itikadi za kutafta pesa kupitia dini
Kwanin ushambulie watu eti haujui mgogoro haujui nn haujui kile hujui hiki
Sasa kma ww unajua si uwaambie na uufafanue huo mgogoro watu wajue ili kilamtu apime madhaifu yako wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli inabidi tutubu maana kuna mahali tumejikwaa!Kabla ya kumlaumu ibilisi kwa lolote, na kabla ya kusali, kwanza waumini wajichunguze wanapojikwaa, watubu na kisha waangalie ni wapi wanampa ibilisi nafasi, wapazibe kabisa.
Na ikumbwe maombi yoyote pasipo kutubu dhambi ni kelele na kujifaraji tu.
Tena inafika hadi tunduma huko.. na inapitiliza kama unaelekea sumbawanga.Kumbe hyo dayosii inakocover had uko kamsamba,ivuna pia nilidhani Ni dayoss ya tukuyu na pia Kuna ya mjini kumbe Ni moja inayohudumia sharika zote karibia zote za mbeya
Saas kumbe mwaikali ameona mbali ninvyema huduma hyo ikapatikana pale mbeya mjini itapendeza Zaid kuliko kupeleka huko migombani rungwe
Mkoa wote wa songwe na wilaya zake zina WAJIBIKA KWA dayosisi ya konde.Saas mkwajuni s songwe hyo au Bado hawajapata Jimbo la kiuwaskofu
Yaani mkoa wa songwe Bado hawajapata hadh ya kuwa na askofu wake