Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Mungu ashughulike na uzao wako.acha wafe,si wanawaiga akina eminem!wangekuwa na jinsia za kike wangepelekwa rehab na ikulu kama ray c,..besides,walipokuwa wanapiga hela na kukesha kila club wakituchalazia walispend na sisi cash zao?
watu wanauliza yupo wapi daz kiukweli daz sasa n kam ndege asiye na makazi leo utamuona moro baada ya mda mbeya mara uringa mar dar hatulii mda huu unaweza ambiwa yupo moro kumbe wapi hayupo moro kaja dar yani haeleweki makazi yake
huyu kurudi katika afya yake ya kawaida labla Umoja wa Mataifa iingilie kati!
bongo fleva wajinga sana
Jaman unga Mbaya Nyie..Bora Nieendelee Kuvata Bangi Yangu Mimi uko sijaribu Kabsaa
ray c alisaidiwa vp daz baba?
Jaman unga Mbaya Nyie..Bora Nieendelee Kuvata Bangi Yangu Mimi uko sijaribu Kabsaa
asaidiwe kwani nani alimsaidia kuanza kuvuta unga?wataongezeka wengi akisaidiwa kwa kutegemea kusaidiwa!
Geuka uchukue dole la kati.