Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia

Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia

watu wanauliza yupo wapi daz kiukweli daz sasa n kam ndege asiye na makazi leo utamuona moro baada ya mda mbeya mara uringa mar dar hatulii mda huu unaweza ambiwa yupo moro kumbe wapi hayupo moro kaja dar yani haeleweki makazi yake

Nilimwona Tunduma nikiwa navuka boda juzi jioni naskia yupo moro kuna post hapo chini anasema ameonekana dar!
 
Kweli daz yupo mby yupo boda yupo iringa yupo moro yupo dar amekuwa upepo kila sehem yupo hawa wapi feruzi jamani
 
fikra za ajabu kiburi pamoja na zogo nilionekana nnazo tangu nikiwa mdogo michezo ya hatari pamoja na dhuruma kiburi kwa wakubwa zangu waliponituma ndipo wazazi wangu walikaa chini wakafiki japokuwa mimi mkubwa nianze skuli ndipo nilipoanza la kwanza mpaka la pili ambapo kamari na jeuri vikawa vimeshamiri nikasogeasogea mpaka darasa la tatu hapo nikazidi kukataa elimu katukatu, maombi wazazi na mswalie mswalie mtume ndivyo vilivonsaidia mi kufika la nne ambapo nilikataa shule nikawa niko zangu tu maskan huku nikitathmini mali za majan leo nikavunje pale kwa tajiri flan ilmradi tu nipate chochote kile kinywan hakika nilifanya kila aina ya unyama ofisi yangu ilifunguliwa jua lilipozama nachokumbuka mama yangu alilia sana hata baba akatishia kuniachia laana... Chorus; ELIMU DUNIA MWENZENU NILIKATAA×2 NILIPENDA MAASI NIMEKUMBWA NA BALAA MAISHA YANGU YOTE NAISHIA MFUNGWA×2
 
unaweza usiamini kama ndio yeye . unga unamaliza wasanii wetu
 
Huyu yupo kijijini kwao huko Njombe_uwemba analima matosani na mbuluma bila kusahau nyamudza
 
Huyu anatakiwa kichapwa viboko kabla ya kupelekwa kwenye matibabu! .Wasanii wengi kwenye starehe zao
hawasikilizi mtu wala ushauri lakini yakiwafika shingoni wanataka yawe ya watanzania wote! .

Wakiwa wanatumia madawa na vilevi vikali wakiambiwa utasikia wanasema This is my private life non of your business na baadhi ya mashabiki huwapa support kwenye hilo lakini wakizidiwa iliyokuwa private life inageuzwa public concern!

Wasanii wengi wanaujinga
hata huyo Rayc alikuwa hasikii la mkuu lakini alipozidiwa kila mtanzania alilazimishwa amuonee huruma!.

Huyo Daz baba asaidiwe lakini hawastahili kuonewa huruma hawa wajinga!

Ferouz your Next!
 
Daz baba haya mambo tatizo kaanza siku nyingi, hana mwili ila bangi na madawa yanamzidisha.
Nitajaribu kumtafuta dada yake, ila nahisi na wao wameshachoka na kumshukuru tu Mungu.

Mimi nalia na hawa wauza madawa, wako huko mitaani na wanajulikana sana, polisi ndio wanafanya pa kuchukulia hela kila wanapohitaji.
Wanapoharibikia wanamuziki wengi panajulikana.
 
Jaman unga Mbaya Nyie..Bora Nieendelee Kuvata Bangi Yangu Mimi uko sijaribu Kabsaa

Acha bangi wewe inaharibu akili,mapafu na chukizo kwa MUNGU.Mkabidhi YESU maisha yako ili aondoe kiu ya bhangi kwani wanaovuta bhangi mwishowe huvuta unga.
 
Mungu ashughulike na uzao wako.

BY: SUPU YA MAWE

a groupie like you can't tell me nuttin',..unataka nianze kumlilia mtu aliyeabuse hela aliyoipata kwa miunga!!!!watu type kama wewe unakuta una ndugu wana shida wanahitaji msaada lakini unamshobokea huyo teja!get outta here a stan..umenikera.
 
Last edited by a moderator:
Tusimsahau na Terry fanani wa hardblasters,naye sembe ilimpoteza kitambo.
 
Kwa kweli Vijana wetu wanaisheer ! wauzaji wanakula Bata UAE, Rwanda , Sad Sad Mungu anawaona lakini .....
 
Back
Top Bottom