DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
Kwani kafanya nini mkuu dadavua kidogo
 
Kuna quality alizonazo ambazo wengi hawana ndio maana amechaguliwa na wengine wameachwa kama kuna jambo anafanya as long as hajavunja miiko ya kazi yake na sheria za nchi limebarikiwa.
 
Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
Wananchi wa Mwanga sielewi kwanini hawapendi kurekebishwa ujinga wao, mtu akija kuwarekebisha wanaanza kumtishia na uchawi na vitisho vingi vya kijinga. Mwaipaya fanya kazi yako ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom