DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

Hilo tukio la ngamia naona anataftia kiki
Kuna Maamuzi mengine ya kutaka Sifa aliyafanya Wiki iliyopita. Mimi namuangalia tu ila namuonea Huruma kwani hapo Mwanga si mahala pa mchezo mchezo hasa ukigusa Interests za Kiuchumi za Watu na ambazo 95% ni za Magendo tupu ila ndiyo zinafanya Uchumi wa Kaya / Familia nyingi huko kuwa juu.
 
Wapare wakule milimani ni hatari Sana aende kwa step kwa kweli
Nimeishi huko mwaka 1993 hadi 1994 na Kujifunza mengi ya Wapare na hasa hasa hilo eneo la Mwanga. Aende taratibu Wapare ukigusa tu Interests zao utaomba Mwenyewe kwa Rais akuhamishe huko.
 
Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
Vipi ni kama anaungua kwenye kiti?
 
Kafanyaje Mwaipaya
Mbona hanaga kiki
Kamzuia mtanzania/mkenya mwenye asili ya Somalia kuswaga kundi la ngamia 80+ kwa njia ya barabara kutoka Kenya hadi Dar es salaam! mwenye ngamia anasema anatafuta ada ya watoto...!
 
Mwanga ni sehemu ya kuwa makini Sana kutaka sifa za kijinga kutamfanya aone hiyo sehemu ni hell
 
Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
Ila sisi wanadamu tunakuza ukifanya kazi kwa bidii unaambiwa unatafuta sifa, ukitulia tuli unaonekana mzembe na mvivu usiyefanya kazi, Watanzania kama tumerogwa, eti aende taratibu sijui kama kuna kipimo cha kazi cha kwenda taratibu au kwenda haraka, akitaka sifa si ni kwa faida ya wananchi wewe unayetaka aende polepole ni kwa faida ya nani?
 
Acha kutisha watu bhana. Mwache mtu afanye maamuzi hata kama akikosea ni bora kuliko DC kukaa anarekebisha tai ya shingoni tu.

Go Mwaipaya GO ON!
Watanzania tumekuwa watu wa ajabu, umwinyi umetuzidi sijui wanataka watu wa sampuli gani ukikaa ofisini ule kiyoyozi hao hao wanakuwa wa kwanza kutoa mabango mbele ya mkuu.
 
Wanafiki na wana wivu sana wabongo.
 
Daah haya mambo ya uongozi zinahitajika hekima na busara zaidi
Sasa Kama watu veting wenyewe walipata na hizo kwa nguo za kijani unahisi watachagua mtu intelligent kweli? hebu cheki viongozi chini utawala wa mwl na Mwinyi pia watu waliandaliwa, tupo nao kijiweni, tupo nao mtaan, tupo nao stand na kwenye za ibaada Ila hutakaa uelewe sio Sasa Kuna vilaza
 
Kafanyaje Mwaipaya
Mbona hanaga kiki
Tutampata Mwaisabaya sasa hivi.
Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.

Acha kutisha watu bhana. Mwache mtu afanye maamuzi hata kama akikosea ni bora kuliko DC kukaa anarekebisha tai ya shingoni tu.

Go Mwaipaya GO ON!

Mjaze tu mwenzio upepo Kama hataliacha V8 hivi hivi na kurudi kwenye passo

We muache ajisheue hapo
Amuulize chalamila

Kafanyaje Mwaipaya
Mbona hanaga kiki
 
Wapare kama Wahaya yaani hapo ni ubaguzi wa kijamii tuu maana mshana hampendi Mbwambo hampendi Msuya hampendi mvungi WAPARE KILA MARA TUNAOMBA KIJIOGRAFIA WAONDOLEWE KIKIMANJARO WARUDISHWE TANGA KWA WAZIGUA NA WASAMBAA KULE KAANANI HAWAPAWEZI
 
Kuna Maamuzi mengine ya kutaka Sifa aliyafanya Wiki iliyopita. Mimi namuangalia tu ila namuonea Huruma kwani hapo Mwanga si mahala pa mchezo mchezo hasa ukigusa Interests za Kiuchumi za Watu na ambazo 95% ni za Magendo tupu ila ndiyo zinafanya Uchumi wa Kaya / Familia nyingi huko kuwa juu.
Tupo mpakani sasa yeye hajiulizi walitoboaje Kenya pamoja na covid yote.
Anatakiwa aje taratibu.
 
Wapare kama Wahaya yaani hapo ni ubaguzi wa kijamii tuu maana mshana hampendi Mbwambo hampendi Msuya hampendi mvungi WAPARE KILA MARA TUNAOMBA KIJIOGRAFIA WAONDOLEWE KIKIMANJARO WARUDISHWE TANGA KWA WAZIGUA NA WASAMBAA KULE KAANANI HAWAPAWEZI
We mchaga acha hizo
 
Back
Top Bottom