DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

DC fanya kazi usiogope maneno maneno, wewe chapa kazi kwa masilahi ya wana mwanga na Taifa kwa ujumla.
ukiogopa maneno basi ujue ww sio kiogozi bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hajui kabisa kujieleza wakati ni mwandishi wa habari
Hawa huwa wanakremishwa kilichokusudiwa kutangazwa, kwangu mimi sijajua nini hasa ilimbeba huyu mwamba hadi akapewa Wilaya...ngekewa?
 
Atakua sub sasa hivi, shauri zake lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…