Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii speach ndo ilimpa V8 na teuzi,yule Bwana Ili ule pesa yake ilikuwa ni kutishia kuua au kudhalilisha upinzani.Kihongosi alisema Zitto Kabwe auwawe.
Leo hii Zitto Kabwe ndio Boss wake.....maisha yanaenda kasi sana!
Simple. CCM ni zaidi ya janga. Ni msiba wa taifa. Nchi inaendeshwa kwa ghilba na unafiki wa kitisho. Na hawa ndio mastar wa uongozi wa nchi.Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi...
Kama rais Samia hawezi kujifunza kitu kutoka kwa hawa njaa kali basi itakuwa ajabu sana. Ingekuwa mimi kila anayenisifia kupita inavyostahili ningemtumbua niwaache wale wanaonikosoa tu.
😂😂😂😂😂😂Wake za hawa vilaza wana vumilia mengi
Zitto ni mhimili huru wa nne wenye mamlaka kamili katika kuliponya taifa bara na visiwani 😁Bosi wake kiaje bwashee?
Kwhy wewe hupendi kusifiwa eeh..?Kama rais Samia hawezi kujifunza kitu kutoka kwa hawa njaa kali basi itakuwa ajabu sana. Ingekuwa mimi kila anayenisifia kupita inavyostahili ningemtumbua niwaache wale wanaonikosoa tu.
Sasa ulitaka afanye nn atafukuza wangapi watazania wote tuna asili hiyo nikuishi nao hivyohivyoKama rais Samia hawezi kujifunza kitu kutoka kwa hawa njaa kali basi itakuwa ajabu sana. Ingekuwa mimi kila anayenisifia kupita inavyostahili ningemtumbua niwaache wale wanaonikosoa tu.
Atajifunzaje wakati na yeye ni type hiyohiyo?!Kama rais Samia hawezi kujifunza kitu kutoka kwa hawa njaa kali basi itakuwa ajabu sana. Ingekuwa mimi kila anayenisifia kupita inavyostahili ningemtumbua niwaache wale wanaonikosoa tu.
Huyu jamaa ni mnafiki hakuna mfano pia ana uwezo wa uongozi anabebwa tu.Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisad...
Siyo unafiki bali ni woga wa kuuliwa na Magufuli. Kilichompata Lissu na Ben Saanane likibaki ni fundisho kwa wote.Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi...
Mkuu mbona kama umemlisha maneno?Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi...
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki wazi kuwa imekopa nini na kwa matumizi gani.
Kilichonifanya nilete huu uzi siyo tu kumshangaa Bwana huyu bali nataka niweke wazi kuwa Tanzania hatuendelei kwa sababu ya kuwa na viongozi wanafiki.
Anachomaanisha huyu Bwana ni kwamba alikuwa anajua kabisa kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi lakini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai ili kulinda ugali wake.
Katika Mataifa yaliyo serious viongozi huweka misimamo yao mbele kwa maendeleo ya Taifa.Viongozi huwa wapo tayari kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Lakini huku kwetu ni tofauti.Viongozi wapo tayari kutetea ujinga,ufisadi,wizi,mauaji,ukandamizaji wa wananchi na kadhalika ili kulinda ugali wao.Hapa Tanzania viongozi wapo tayari kumtetea kiongozi aliebadilika kuwa kichaa au mwendawazimu ili kulinda nyadhifa zao.
Katika hali kama hii usitegemee Taifa kuendelea kamwe.Hii ni kwa sababu pale kiongozi anapoamua kubadilika kuwa fisadi,mwizi,mkandamizaji au hata kichaa basi hulindwa na chama chake pamoja na viongozi wengine waliopo madarakani ambao lengo lao ni kulinda nyadhifa zao na wala siyo kutetea maslahi mapana ya Taifa.
CCM kwa miaka mingi imekuwa ikitoa viongozi wa aina ya huyu Bwana na ndiyo maana Tanzania miaka nenda haiendelei.Ni muda muafaka sasa CCM kukaa pembeni ili kupisha vyama vingine vya siasa ambavyo vina maono pamoja na nia ya dhati ya kulikomboa Taifa hili.
View attachment 2064795View attachment 2064796View attachment 2064797
Semenya wa ukaldayo rudisha avatar picha ya Yule dogo.Sana bwashee.
Leo hii ndugai aliyekuwa na nguvu ya kumuwajibisha yeyote na kamati yake ya maadili analialia tu.
Asijue la kufanya.
Halafu wanataka sisi ambao hatukupata hata uteuzi wa balozi nyumba kumi ndio Tumsifie.Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.