Tatizo siku hizi bahasha hazitembei kwa waimba kwaya.
Unafiki wao upo dhahiri check sasa wote wanamponda magufuli aliyewapa maisha,tulimtahadharisha mapema mama toa watu weka watu wako akaona tunampangia kama ilivyo jadi ya watawala wa kiafrica check sasa wanadhani bado kwaya zinalipa.
Hawana cv wala weledi wowote zaidi kwaya na kutishia wapinzani ndio cv yao