Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Kichaa sio lazima uvue nguo , Kuna vichaa wavaa suti , ambao ni hatari sana yaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najaribu kuchomekea tu au siyo ndugu zangu 😀Wewe humtakii mema miss kidoti, lakini ukiumia shauri yako, kuna ‘afsa’ huko Kisarawe alitumbuliwa hivi hivi!
Hata kuhujumu uchumi ni ya kikoloni. Subiri siku Mbowe atakavyocharazwa na lengai uje ulielie humu.Hiyo sera ya kutandika viboko watu wazima ni ya KiKOLONI
Najua unataka zile milion 50 kila Kijiji, mtamuua maana kila Kijiji akale bakora.Hata sisi wananchi tupewe ruhusa ya kuwachapa viboko viongozi wasiowajibika Kama ulihaidi ahadi wakati wa kuomba kura na utaki kuitekeleza ni viboko tu. Maana pasipo fimbo atuendi
Kwani chadema mnafika milion 60?Jitu zima lenye frustrations zake linaenda kuchannel his frustrations to little kids who cant do anything eti nafundisha uzalendo?
Uzalendo ni hiyari
Kuchapa watoto wa watu ni kujenga chuki zaidi
Huyu takataka angetakiwa afungue kesi ushahidi uende wazazi wa hawa watoto walipe fidia hadi gharama za kesi sio huu upumbavu
Wakuu wa Wilaya na Mikoa ni vichaa wana mafaili Mirembe kabisa
Bure kabisa
Huyu jamaa kasababisha wananchi milioni 60 kuichukia hii serikali zaidi na zaidi
Eti uzalendo,uzalendo unaletwa kwa kuchapa watoto?
Aisee,hii mijitu ilipata zero shule inapewa madaraka namna hii ni kosa la mteuaji,mteuaji ndio tatizo zaidi hapa!
Hapa kichaa kafanya kazi yake halali ya kua kichaa,siwezi mlaumu kichaa kwa kufanya mambo yake ya ukichaa,namlaumu mteuaji!
Mfano mzuri ni clip inayozunguka ya mwanafunzi (tena wa kike)akizichapa na mkurugenzi huko kanda ya ziwaHujui kwamba unaweza kushtakiwa kwa kumchapa mwanao? Hujui kwamba mambo kama haya yanaweza kuishia kama yale ya Dr. Kleruu na Mzee Mwamwindi wa Iringa kwasababu kuna wanaume hawatakubali kudhalilishwa kiboya hivi? Hebu fikiria ingekuwa wewe; je ungekubali kuadhibiwa kwa viiboko hadharani?
Acha ujinga,hiyo hukumu ya kuwatandika mboko imetolewa na mahakama gani?karne ya 21,hatuwezi kuishi Kama wazee wa Zama za mawe!lazima tufate utawala wa Sheria,
Alisikika Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini, Ndg. Kenani Kihongosi akisema, "Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri" huku akiwatandika viboko wahujumu wa mali za serikali.
Mimi naungana nae na nadiriki kusema tunahitaji viongozi kama hawa wazalendo na wakali kwa watu wote ambao ni wahujumu wa mali za serikali, kwa hakika taifa letu litasonga mbele.
Endelea kuchapa kazi Kiongozi, watanzania tunaojitambua tupo pamoja nawe na tunaendelea kukuombea afya tele kwa Mungu wetu wa Mbinguni.
Pamoja Tuijenge Tanzania
What happen to you? Huyu si wewe anayejulikana humu.DC na Mwajiri wake ni pure evil, watoto wa Shetani na mtalipa siku mwisho, mwenye uwezo wa kuhukumu na Mahakama pekee, mtu akifanya kosa Polisi wanaingilia wanamfikisha Mahakamani na Mahakama inahukumu kuligana na kosa, Maguful I am done with you, ...
Kama ni bakora mbona zipo nyingiNajua unataka zile milion 50 kila Kijiji, mtamuua maana kila Kijiji akale bakora.
Sikuwahi kuchapwa fimbo shule ya msingi nakumbuka kuna kipindi tulikwenda picnic bila ruhusa tukagundulika tukaambiwa tulete wazazi tukaonywa mbele ya wazaziKwa uhalisia umesoma shule gani inayofuata huo utaratibu, nakazia mwanafunzi anastahili viboko anapokosea au kuhisiwa Kama katenda kosa
Jana niliandika na leo naandika ,waksome kisa cha Kleruu na Mwamwindi.Wataacha watoto wao bado wadogo.
Alisikika Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini, Ndg. Kenani Kihongosi akisema, "Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri" huku akiwatandika viboko wahujumu wa mali za serikali.
Mimi naungana nae na nadiriki kusema tunahitaji viongozi kama hawa wazalendo na wakali kwa watu wote ambao ni wahujumu wa mali za serikali, kwa hakika taifa letu litasonga mbele.
Endelea kuchapa kazi Kiongozi, watanzania tunaojitambua tupo pamoja nawe na tunaendelea kukuombea afya tele kwa Mungu wetu wa Mbinguni.
Pamoja Tuijenge Tanzania
Umeelimishwa, afu unabishana na facts?! Unaishi zama za kale za mawe, unachotakiwa kujua the world has moved from where you are!! Na hii chapa chapa, yenu, ipo siku mtaenda kulipa, hata uzeeni! Au unafikiri chama tawala na rais wenu, mtatawala milele?!Kwa uhalisia umesoma shule gani inayofuata huo utaratibu, nakazia mwanafunzi anastahili viboko anapokosea au kuhisiwa Kama katenda kosa
Naunga mkono hoja
Alisikika Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini, Ndg. Kenani Kihongosi akisema, "Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri" huku akiwatandika viboko wahujumu wa mali za serikali.
Mimi naungana nae na nadiriki kusema tunahitaji viongozi kama hawa wazalendo na wakali kwa watu wote ambao ni wahujumu wa mali za serikali, kwa hakika taifa letu litasonga mbele.
Endelea kuchapa kazi Kiongozi, watanzania tunaojitambua tupo pamoja nawe na tunaendelea kukuombea afya tele kwa Mungu wetu wa Mbinguni.
Pamoja Tuijenge Tanzania
Ebwana eh ina maana unapinga kitendo cha dc kuwachapa wale watoto na mijitu mizima bakoraDC na Mwajiri wake ni pure evil, watoto wa Shetani na mtalipa siku mwisho, mwenye uwezo wa kuhukumu na Mahakama pekee, mtu akifanya kosa Polisi wanaingilia wanamfikisha Mahakamani na Mahakama inahukumu kuligana na kosa, Maguful I am done with you, ...