DC Arusha, Kenani Kihongosi: Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri

DC Arusha, Kenani Kihongosi: Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri

Tuache kuhalalisha vitendo vya kuvunja katiba..

mahakama ipi ilithibitisha kwamba ni wezi?
Kwa enzi tulizonazo tumeamua kuchukua mkondo mpya wa utamaduni wetu.Yale ya msingi yanaonekana hayana maana.Ila utamaduni huu usipokoma tena mara moja ni janga baya kabisa katika taifa letu na halitatuacha salama kama taifa.
 
"Dela jipya, chupi la zamani". Msanii alisikika akiimba.
 
Back
Top Bottom