eliesikia JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 787 Reaction score 758 Dec 25, 2020 #61 Azizi J Hamad said: Inaonekana umekaririshwa maisha Click to expand... Mie sijasoma Chuo Kikuu mkuu, Nimesoma University
Azizi J Hamad said: Inaonekana umekaririshwa maisha Click to expand... Mie sijasoma Chuo Kikuu mkuu, Nimesoma University
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Dec 25, 2020 #62 Naantombe Mushi said: Tuache kuhalalisha vitendo vya kuvunja katiba.. mahakama ipi ilithibitisha kwamba ni wezi? Click to expand... Kwa enzi tulizonazo tumeamua kuchukua mkondo mpya wa utamaduni wetu.Yale ya msingi yanaonekana hayana maana.Ila utamaduni huu usipokoma tena mara moja ni janga baya kabisa katika taifa letu na halitatuacha salama kama taifa.
Naantombe Mushi said: Tuache kuhalalisha vitendo vya kuvunja katiba.. mahakama ipi ilithibitisha kwamba ni wezi? Click to expand... Kwa enzi tulizonazo tumeamua kuchukua mkondo mpya wa utamaduni wetu.Yale ya msingi yanaonekana hayana maana.Ila utamaduni huu usipokoma tena mara moja ni janga baya kabisa katika taifa letu na halitatuacha salama kama taifa.
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,064 Reaction score 10,468 Dec 26, 2020 #63 "Dela jipya, chupi la zamani". Msanii alisikika akiimba.