Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Kumbe ni mwanajumuia mwenzetu hahahahahahahha jamani Bongo haiishi kushangaza tehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila mwenye koti jeupe ni daktari, wengine wauza nyama buchani.
Wajameni tuwe waangalifu kwenye jambo hili. Mwislamu kuolewa na mkristo hakummfanyi mwislamu kuwa automatically mkristo kwani hata huko kanisani zipo ndoa za mchanganyiko wa dini au madhehebu. Ili tuweze kuwa na uhakika kama kweli ni mkristo tulete vithibitisho kwamba alibatizwa (mahali, na mbatizaji wake) na jina lake la ubatizo. Kwa kifupi tutafute cheti chake cha ubatizo au watu wanaomjua fika kwamba ni mkristo na jina lake linafahamika. siyo hizi ngonjera za kusema kaolewa na mkatoliki kwa hiyo naye ni mkatoliki.
ALIEMUOA NDO KASEMA AMEBATIZWA PAROKIA YA MBEZI BEACH, SISI HATUWEZI KUKUPATIA HIVYO VIDHIBITISHO. KWA USHAURI, HEBU CHEKI NA PAROKIA TAJWA HAPO JUU MKUU.
Hata kama tukikukubalia kitendo cha CHADEMA si sawa, sasa tamko la Masheikh kuhimiza Waislam wasiipigie CHADEMA kura linakujaje? Mbona hawatoi tamko la kukataza Waislam wasiipigie kura CCM kwa kumpiga mpaka hali mahtuti kiongozi wa CUF huko Igunga? au Mbunge wa CUF kulazwa lupango chumba cha wanaume? Huoni double standards hapa?Kwani masista wa kikatoliki hawavai hijabu? Tena wengine ndiyo wale cloistered sisters wamewazidi hata maninja wa kiislamu. Sasa jee ukimvua hadharani kilemba chake sister wa kikatoliki itakuwa sawa?
Mimi kwa maoni yangu yule mama awe muislamu au mkristo lakini vile alivyofanyiwa siyo sawa, kuburuzwa kama jambazi fulani hivi. Na hata kama ni mkristo lakini ameamua kuvaa kiaina ile kwa nini avuliwe vilemba vyake?
Na hiyo anayozungumzia 'fatma' ni ya kiarabu kwa kiswahili ndiyo tunaita fatuma.