Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bakwataLakini hakuna mahali aliposema kuwa yeye ni muisilamu, alicholalamika ni kuachwa uchi! Sasa hiyo ya kuwa muisilamu mnaitoa wapi?
Unataka cheti cha ubatizo kiwekwe hapa JF una maana gani? hapa hatuulizani vyeti nenda sekondari kama unataka hivyo we jua ya kwamba bi fety ni mkristo mkatoliki..........Na unataka mbatizaji wake wanini? Ondoa upupu wako.Wajameni tuwe waangalifu kwenye jambo hili. Mwislamu kuolewa na mkristo hakummfanyi mwislamu kuwa automatically mkristo kwani hata huko kanisani zipo ndoa za mchanganyiko wa dini au madhehebu. Ili tuweze kuwa na uhakika kama kweli ni mkristo tulete vithibitisho kwamba alibatizwa (mahali, na mbatizaji wake) na jina lake la ubatizo. Kwa kifupi tutafute cheti chake cha ubatizo au watu wanaomjua fika kwamba ni mkristo na jina lake linafahamika. siyo hizi ngonjera za kusema kaolewa na mkatoliki kwa hiyo naye ni mkatoliki.
kwahiyo mkatoriki ndio apigwe na kuvuliwa nguo zake?Chedema kwa hili siwaungi mkono,wangeweza kumkata kistaarabu na ingewapa credit sana,sasa wao wameonesha sio chama cha ustaarabu na subra.Habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach. Na mume wake mr joseph kimario ni mwenyekiti wa uongozi wa parokia mbezi beach. Hivyo tunawaomba bakwata wasitumie vibaya vyombo vya habari kueneza udini tanzania. 4 more information vist PAROKIA YA BIKIRA MARIA MBEZI BEACH.
kwahiyo mkatoriki ndio apigwe na kuvuliwa nguo zake?Chedema kwa hili siwaungi mkono,wangeweza kumkata kistaarabu na ingewapa credit sana,sasa wao wameonesha sio chama cha ustaarabu na subra.
Hahahahaah! Hakyanani mkuu umenifanya nionekane chizi,yaani nacheka peke yangu!tulitegemea. kimario 98% ni wa kristo. Amevaa ijabu kama the way to mitigate risk.na imewek!huoni mashekhe walivokurupuka km wamekosa oxygen katika pango.