Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

habari hiyo imeandikwa na mwana jf mmoja....nami taarifa kama hizi huwa naziweka kwenye archive yangu.....
 
kama hii ni kweli basi,mahakama za kadhi zitahitaji tujipange.
 
mmesahau mara hii hizi siasa za kidemokrasia za tz?
1 mrema alipoingia upinzani aliibuka 'paulina' na kutumika kumchafua. alidai amezaa nae akatelekezwa blah blah
2 dr slaa nae kuingia urais akaibuka 'mume wa josephine', ambae baada ya dr kukosa urais nadhani nae akatuliza boli. pengine amepata mdada wa kumtuliza hadi 2015 incase dr akigombea tena ajitokeze kuulizia mkewe (kama talaka itakua officially haijatoka)
3 Fatuma Kimario, inawezekana yakawa yale yale..
ccm kwa kutumia watu ni kawaida. kama tu jaji mkuu ramadhani alinyang'anywa ulinzi siku moja baada ya kustaafu,seuze hawa
mama fatuma kimario, vuna kwa wakati. hakikisha unafaidika manake hii sinema ikiisha tiket inakua haina kazi tena,unahangaika na wallet yako
 
kuna picha za shamba lake liliko tegeta pampja nanyumba wanayjenga huko nimetumiwa hapa na mwanajf aliyefika eneo&nbsp; lao....<br><br>anafuga na NGURUWE WENGI TU KULE... soon ntaziupload
 
Hii wala haina tatizo.Chadema hakuna pa kutokea kuhusiana na uhasama baina yenu na waislamu.Fursa ya kuomba radhi kwa kumsikiliza yule mroho wa madaraka-Safari mumeshindwa kuitumia.
Bakwata tunaamini kama kweli Fatma si muislamu mwenzetu na sisi tulikuwa hatujui hilo,basi na wale waliomvua hijabu mama Fatuma hawakujuwa kwamba ni mkatoliki mwenzao,walidhani ni muislamu.Hivyo tatizo liko pale pale kwamba nia ya Chadema ilikuwa kudharau uislamu na kubeza alama zake.
Kuanzia sasa hatumzungumzii Fatuma bali tunazugumzia hijabu.
Kwa upande mwengine hiki kisa iwapo ni kweli kinaweza kikatoa ushahidi mzito juu ya kitu kinachoitwa mfumo kristo.
 
Kwa hili Bakwata wametudhalilisha. Naomba watuombe radhi.
 
sometimes unaweza ukajiuliza hawa viongoz wet wanajielewa kwel
 
Hii wala haina tatizo.Chadema hakuna pa kutokea kuhusiana na uhasama baina yenu na waislamu.Fursa ya kuomba radhi kwa kumsikiliza yule mroho wa madaraka-Safari mumeshindwa kuitumia.
Bakwata tunaamini kama kweli Fatma si muislamu mwenzetu na sisi tulikuwa hatujui hilo,basi na wale waliomvua hijabu mama Fatuma hawakujuwa kwamba ni mkatoliki mwenzao,walidhani ni muislamu.Hivyo tatizo liko pale pale kwamba nia ya Chadema ilikuwa kudharau uislamu na kubeza alama zake.
Kuanzia sasa hatumzungumzii Fatuma bali tunazugumzia hijabu.
Kwa upande mwengine hiki kisa iwapo ni kweli kinaweza kikatoa ushahidi mzito juu ya kitu kinachoitwa mfumo kristo.

@Ami, DC Fatma Kimario ulitaka aachwe aendelee na mipango ya wizi kwa sababu tu kavaa ushungi? Mama huyu ni mtuhumiwa wa wizi na nilifikiri kwa sasa angekuwa KEKO akisubiri tarehe yake Kisutu akajitee huko. Hizi porojo za ushungi na hijabu ni kupetezeana muda na ni dharau watanzania. Mwizi ni mwizi hata kama amevaa kanzu au kofia ya uaskofu. Igunga kuna matatizo lukuki, maji, barabara mbovu, umeme hakuna lakini wako wazee wanaoona kipaumbele ni ushungi kwa sababu tu wamepewa 'kalamu'. Kila jambo na wakati wake, ccm had thier moment and they blew it. Porojo za hawa semi-illiterate wanaojiitia viongozi wa dini na bastola za wakina Rage hazitazuia hasira walizo nazo watanzania. We want change- you better learn that, fast.
 
Ukimvua mwanamke hijabu umemdhalilisha na umeudhalilisha Uislam hata ikitokea sio Muislam kwa sababu umeivunjia heshima alama ya Uislam na faragha ya mwanamke. BAKWATA wametetea heshima ya Uislam mbele ya jamii, hata kama Kimario mmoja kumbe sio Muislam.
 
tulitegemea. kimario 98% ni wa kristo. Amevaa ijabu kama the way to mitigate risk.na imewek!huoni mashekhe walivokurupuka km wamekosa oxygen katika pango.
Si ajabu baada ya tafrani kiduchu..ilidondoka. Hii inaonesha kuwa haikufungwa kitaalam au kwa experience!
 
ati muislam anayetetewa na BAKWATA anafuga "kitimoto"! na bila shaka anatumia, no this can't be, haiwezekani, its impossible.
 
Hii wala haina tatizo.Chadema hakuna pa kutokea kuhusiana na uhasama baina yenu na waislamu.Fursa ya kuomba radhi kwa kumsikiliza yule mroho wa madaraka-Safari mumeshindwa kuitumia.
Bakwata tunaamini kama kweli Fatma si muislamu mwenzetu na sisi tulikuwa hatujui hilo,basi na wale waliomvua hijabu mama Fatuma hawakujuwa kwamba ni mkatoliki mwenzao,walidhani ni muislamu.Hivyo tatizo liko pale pale kwamba nia ya Chadema ilikuwa kudharau uislamu na kubeza alama zake.
Kuanzia sasa hatumzungumzii Fatuma bali tunazugumzia hijabu.
Kwa upande mwengine hiki kisa iwapo ni kweli kinaweza kikatoa ushahidi mzito juu ya kitu kinachoitwa mfumo kristo.

yap,exclusivelly found in islam...
 
tulitegemea. kimario 98% ni wa kristo. Amevaa ijabu kama the way to mitigate risk.na imewek!huoni mashekhe walivokurupuka km wamekosa oxygen katika pango.

Ile ilkuwa hiajb au mtandio wakuu?. Muangalieni alivyokuwa hovyohovyo, wala haendani na uislamu yule dada. Ndio maana Mtikila amekuwa akiwaita kuwa ni mago....r... ya wakubwa, nadhani ni kweli tupu.
 
Katika hili nitabaki kuwa Tomaso......


Ipo siku miti itaongea, wanyama watageuka kuwa mawe na kila kitu kitakuwa kichwa chini miguu juu!!
 
KHA hivi huyo mzee Joseph, yaani anamwacha baby wake huko igunga, Mbali hivyo? kwani hajui akina Mwigulu wako anga hizo, shuri lake na Msomali Ragge naskia nae kaingia Igunga.. Mzee wahi baby wako.. shauri lako.. vijana wale hawachagui nzee wala mbichi...
 
Hivi ni mkatoriki au Mkatoliki?? Uliyeleta hii taarifa rekebisha t.afadhali.
 
TAARIFA NI HII



FATUMA KIMARIO SIO MUISLAMU- WAISLAMU TUNATUMIKA IGUNGA.
Naomba leo niandike jambo ambalo linawezekana kabisa kwa wengine wakaniona ama nimekuwa na msimamo tofauti kuhusu dini yangu tukufu ama labda wakafikiri kuwa na mimi nimeamua kuukana uislamu kwa manufaa ya wakristo na ama hata nimeamua kuwa mwanasiasa, jambo ambalo kati ya hayo hapo juu hakuna hata moja ambalo limenisukuma katika kuandika juu ya jambo hili leo.

Kilichonisukuma mpaka nikafikia kuandika makala haya ni kutokana na ukweli ambao nimeufahamu baada ya kutumia muda wangu kutafakari kuhusiana na malumbano ya siasa na dini ambayo yamekuwepo kwa mjuda mrefu na sasa yanaelekea kufikia kilele chake huko Igunga haswa juu ya “Ukristu wa CHADEMA” na “Uislamu wa CCM” NA CUF haijulikani kama wao ni waislamu ama ni wapagani kwani kwa sasa waislamu wameamua kuwa chama chetu kiwe ni CCM kitu ambacho sio sahihi na hakuna kikao wala mhadhara wowote ambao umewahi kufanyika na kufanya maamuzi hayo.
Naandika kwa sababu ya picha ya leo ya gazeti la Tanzania Daima kuhusu hijabu na mtandio inafedhehesha uislamu na viongozi wetu mnadharaulika sasa kutokana na kutetea kitu ambacho ni fedheha sitaki muendelee .
Fatuma Joseph Kimario sio Muislamu- (DC wa Igunga).

Ndugu zangu waislamu nimefanya utafiti na kugundua pasipo na shaka kuwa huyu dada yetu ambaye leo anatumiwa na CCM hata kuwafanya viongozi wetu wabadilishe maana halasi ya vazi la heshima la Hijabu kuwa ni kimtandio tuu ni kuwa sio muislamu kwa mujibu wa sheria za Allah mwenyewe.

Mama huyu ameolewa na bwana Joseph Kimario ambaye huyu Joseph ni mzaliwa wa Wilaya ya Rombo Kilimanjaro kutoka kijiji cha Olel, kata ya Makiidi na Tarafa ya Mkuu . Huyu mumewe kwa sasa anaishi Mbezi Beach jijini DSM na wanajenga nyumba nyingine Tegeta jijini DSM .

BWANA JOSEPH KIMARIO ni kiongozi wa dini ya kikatoliki katika parokia ya Mbezi –huyu ni mzee wa kanisa na ni mwenyekiti wa kigango cha mbezi kati sasa huyu ndio kaoa Muislamu kweli?
Watoto wa Fatuma na Joseph wamebatizwa na ni wakatoliki isipokuwa mmoja wa kike ambaye mpaka sasa hajafanya maamuzi ila watoto wao ambao wanasoma na mmoja akiwa anasoma UDSM ni mwanakwaya katika kanisa katoliki chuo kikuuu.

Fatuma akiwa DSM hajawahi kukutwa kavaa hijabu hata siku moja na hata huko Igunga havai hijabu na ndio maana siku alipokutwa kava mtandio alikuwa kavaa sketi fupi ya kitenge na mtandio ule alivaa kwa sababu anaenda kukutana na wazee wa kiislamu huyu asitufanye tupoteze msimamo wetu kuna siku itakuwa aibu.

Ndoa yao bado nafuatilia ilifungwa wapi kwani taarifa hizi nimeweza kuzikusanya kwa muda huu ambao suala hili lilipoibuka na haswa nilipomsikia Safari akisema tufanye kwanza utafiti nikajua kuna kitu CDM wanajua na ndio maana wanajiamini na hata mwanazuoni Prof.Safari kuamua kutoa ufafanuzi.

Siku haya yakidhihirika waislamu tutaficha wapi nyuso zetu? Natoa tahadhari tuwe makini na kauli zetu.
Mwenye ubishi kuhusiana na Uislamu wa Fatuma aje hapa na aseme kama mwanamke ambaye kaolewa na mkristu bado anakuwa na sifa ya uislamu ama laa na hata aina ya mifugo anayofuga Joseph kwenye shamba lake Tegeta inatia kinyaa na siwezi kuiandika hapa.

CCM inatutumia waislamu kwa manufaa yao Igunga.

Naomba nieleze ni kwanini sasa naamini kuwa waislamu tunataka kutumiwa na CCM kwa manufaa yao wenyewe ya kisiasa huku waislamu tukiendelea kuumizwa;
1. Kitendo cha kumfukuza Rostam na kumlazimisha ajiuzulu ni wazi kuwa kilisukumwa na udini zaidi .Hii inatokana na ukweli kuwa alituhumiwa pamoja na wenzake wakristu wawili ambao ni Edward Lowassa na Andrea Chenge , ila aliyetakiwa kujiondoa ni Rostama tuu kwa kuwa ni muisilamu na kudhihirisha hilo CCM waliamua kuweka mgombea Mkristo Igunga ili kuongeza idadi ya wakristu bungeni kwa kuwapunguza waislamu.

2. CCM iliamua kumwondoa Muislam kutoka cheo cha katibu mkuu wa CCM ndugu Makamba na kumuweka mkatoliki Ndugu Wilson Mukama , ambaye juzi alitoa tuhuma nzito kwa nchi za kiislamu kama vile Pakistani, Afganistani na Libya .Hii ni dalili ya wazi kabisa kuwa Mukama anazo falsafa za kimarekeni kiuwa kila Muislamu ni gaidi kwanini asingesema kuwa Makomandoo wa CDM wametoka vatikani? CDM ina uhusiano gani na nchi za kiislamu?

3. Timu ya kampeni Igunga inaendeshwa na wakristu – hii ni kutokana na kuwa kuna ajenda ya kuongoza wakristu Bungeni na ndio maana sasa wanabebana wakristu kwa ajili ya kuhakikisha kuwa hilo linaweza kutimia hapa nawazungumzia wakina Mchemba,Mkapa,Mangula,Mashishanga . Hawa ni wakristu ambao wengine tangu 2005 hawakuwahi kuonekana wakifanya siasa ila leo ndio wapo Igunga kuongoza timu ya kampeni za CCM huku sisi waislamu tukitakiwa kutoa matamko ya kulaani CDM na kuisaidia CCM ambao wanajua wanatutumia tuu.

4. CCM ilikataa kumpitisha mgombea muislamu Igunga , huyu ni ndugu Jaffari ambaye anajulikana msimamo wake ulivyo dhabiti kwenye masuala ya Imani na huyu ndio angeweza kusimama kidete kuhakikisha kuwa waislamu tunapata mahakama ya kadhi kule Bungeni .Wameweka mkatoliki ambaye ikifika kupiga kura kuhusiana na jambo hilo imani yake itamsimamia zaidi.

5. Igunga inatumika kuuwa hoja ya kuandamana kuhusua mahakama ya kadhi. Tulitoa tamko kuhusiana na nia yetu ya kuandamana kudai mahakama yaq kadhi ili niwaambie ukweli ni kuwa viongozi wa dini 40 waliitwa na JK na kupatiwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja ili8 kui8zima hoja hii kwani ingemuweka pabaya na ndio maana leo Igunga inatumika kupoteza malengo ya waislamu na sisi tunajikuta tukiingia. Nina ushahidi kuhusiana na jambo hili na anayebisha aje hapa aseme japo kuuweka sasa ni kuwadhalilisha viongozi wangu wa dini .


MAANDALIZI YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA .

Ndugu zangui waislamu tunagawanywa ili utakapoletwa mswada wa katiba mpya tugawanyike kwenye mambo yasiyokuwa ya msingi na kisha tufarakane na tushindwe kuingiza madai yetu ya kimsingi katika kuidai katiba mpya na haswa viongozi wetu wataendelea kutumiwa hivi hivi na sisi tukuendelea kukaa kimya basi kamwe hatutaweza kufanikiwa hata siku moja naomba tuamke kwani kuna mambo hayako sawa mimi niko kwenye mfumo ndio maana nawaambia kuwa tumetegwa na kama hatutaweza kujitanzua tutaangamia muda sio mrefu .Baada ya kusema haya yote nawaomba viongozi wa Kiislamu tuchuinguze jambo hili kwani tutajikuta tunafikwa na aibu kuwa siku za usoni.
Ni mimi mwana wenu.

Waache paparaa na kushabikia mambo watamzika mtu kwa mjibu wa dini ya kiislamu kumbe ni mkristu kisa jina la mwanzo ni Futuma.
wataumbuka na itawaumbua
 
Habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach. Na mume wake mr joseph kimario ni mwenyekiti wa uongozi wa parokia mbezi beach. Hivyo tunawaomba bakwata wasitumie vibaya vyombo vya habari kueneza udini tanzania. 4 more information vist PAROKIA YA BIKIRA MARIA MBEZI BEACH.
BAKWATA wamejidhihirisha ni wavivu wa kufikiri. Wamelalama eti uislam umeaibishwa kwa kuwa Fatuma Kimario kavuliwa kitambaa wakiamini ni Muislam. Jirani wa DC anayeishi naye mbezi kavujisha ukweli kuwa huyu mama ni mkristo kaolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki tena mzee wake ni mzee wa kanisa la katoliki mbezi. Pia DC huyu na mumewe wana nyumba na shamba tegeta na ktk shamba hilo wanafuga nguruwe na mama huyu ni muuzaji maarufu wa hawa nguruwe hapo tegeta na ni mlaji mzuri tu wa hii kitu .
Hili ndo shamba la Nguruwe la DC wa Igunga lipo tegeta;
View attachment 37796
 
Wajameni tuwe waangalifu kwenye jambo hili. Mwislamu kuolewa na mkristo hakummfanyi mwislamu kuwa automatically mkristo kwani hata huko kanisani zipo ndoa za mchanganyiko wa dini au madhehebu. Ili tuweze kuwa na uhakika kama kweli ni mkristo tulete vithibitisho kwamba alibatizwa (mahali, na mbatizaji wake) na jina lake la ubatizo. Kwa kifupi tutafute cheti chake cha ubatizo au watu wanaomjua fika kwamba ni mkristo na jina lake linafahamika. siyo hizi ngonjera za kusema kaolewa na mkatoliki kwa hiyo naye ni mkatoliki.
ALIEMUOA NDO KASEMA AMEBATIZWA PAROKIA YA MBEZI BEACH, SISI HATUWEZI KUKUPATIA HIVYO VIDHIBITISHO. KWA USHAURI, HEBU CHEKI NA PAROKIA TAJWA HAPO JUU MKUU.

mkuu, unajichanganya, katika habari hii imeelezwa kuwa ushahidi ni kanisani, sasa unaposema kuwa mumewe ndiye aliyesema kunakuwa na utata. hapa naona watu wanajitahidi sana kulitetea hili kosa lilifanywa na cdm kwa kutoa hoja kuwa muathirika hakuwa muislam hivyo wanakubaliana kuwa kweli ni kosa isipokuwa Bakwata hawana haki ya kulikemea hili suala. Ok Tusubiri Maamuzi Ya Mahakama.
 
Back
Top Bottom