DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

RobyMi

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
848
Reaction score
863
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
 
Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!! Dr. Mahela is the most reputable academician, alafu Jerry anamfanyia hv? OMG..!!
 
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

Yaani inaonekana kabisa wanacheza na kamera hapo. Dah
 
Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!😡😡😡😳😳😳😳 Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!!

Kuna mijitu mengine ni mithenge sana lakini ndio malipo yao hayo ya kutumika kishenzi shenzi. Watu wazima wana njia za kuambizana kijitu kizima sio kufokeana kama watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom