DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

Na Malisa GJ

Mkuu wa Wilaya Jerry Muro anamtukana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha DC, Dr.Wilson Mahela (PhD) mbele ya Mkuu wa mkoa na macamera ya waandishi wa habari yanawamulika. Uongozi wa kijinga sana huu. Kanuni za maadili ya uongozi haziruhusu kufanya huu utoto. Kama Mkurugenzi alichelewa kufika, kuna namna bora ya kumuwajibisha ambayo ingekua na tija kuliko huu ujinga uliofanya Jerry. Tatizo mnateuliwa teuliwa tu bila hata kupewa semina elekezi.

Mtu hajawahi kuwa hata CR darasani leo anakuwa DC ama RC what do u expect? Matokeo yake ndio haya ya kuja kutukanana hadharani na mnaona sifa kurekodiwa. Halafu wewe Jerry sio mamlaka ya nidhamu ya DED. Pengine huo uDC umekulevya. Mamlaka ya nidhamu ya DED ni RAS. Kwahiyo kama alichelewa ungeweza kuzungumza nae baadae na kumueleza masikitiko yako, na kama angekaidi ungemripoti kwa RAS. Sio kutukanana hadharani.

Unamtukana DED na kumuita mpuuzi na mpumbavu hadharani, halafu unategemea awasimamie watendaji wa Halmashauri. How that possible? Atawasimamiaje wakati wameona akiitwa mpuuzi na mpumbavu hadharani? Na wenyewe watampuuza tu kama ulivyompuuza wewe. Ni aibu viongozi kuzozana hadharani. Wahenga walisema wazazi wapumbavu pekee ndio wanaoweza kugombana mbele ya watoto. Kulikua na tatizo gani mngeendelea na hiyo ziara then badae mkae na kujadili?

Halafu kichekesho unamlaumu DED kwa kuchelewa dakika 10, lakini wewe umepoteza dakika nyingi zaidi kumtukana. Hivi lengo lako lilikua kuokoa muda kweli?

Huyu Dr.Wilson Mahela ni PhD holder. Amefundisha chuo kikuu UDSM muda mrefu wakati wewe ukifanya ukanjanja kwenye media. Amekuzidi umri, amekuzidi elimu, amekuzidi busara. Kama umeshindwa kumheshimu kwa nafasi yake basi ungemheshimu hata kwa umri wake tu.

Then huyo DED unayemdhalilisha ndo anayekuweka mjini. Tunajua maDC hamna budget. Mnalelewa na ofisi za DED kwa kila kitu. Hadi mafuta ya gari mnaomba kwao. Sasa how comes unamdhalilisha mtu anayekufanya usurvive? Kesho ukimuomba mafuta akikunyima utamfanya nini? Au ndo utaita tena macamera uanze kumtukana? Growup na uache sifa za kijinga. Uongozi ni kujifunza. Take time to learn from your elders kabla ya kukurupuka. Unajidhalilisha na kumdhalilisha aliyekuteua.!
 
Huyo wa katikati si ndie RC mbona kimya
 
Nakubaliana na wewe [emoji817]%
 
Hakuna haja ya kusikitishwa na chochote kwani mlitegemea mtu huyo afanye tofauti na hayo!
 
Wilson Mahela ni PhD holder. Amefundisha chuo kikuu UDSM muda mrefu wakati wewe ukifanya ukanjanja kwenye media. Amekuzidi umri, amekuzidi elimu, amekuzidi busara. Kama umeshindwa kumheshimu kwa nafasi yake basi ungemheshimu hata kwa umri wake tu.
 
Haya mambo ya kutotumia lugha za staha kwenye mawasiliano katika utumishi wa umma yanapelekea kuwekeana mabifu yasiyo na msingi, kama kanjanja tu anaweza kumporomoshea matusi PhD holder utaelewa ni kitu gani kinaweza kufuata hapo.
 
Wateule wa Mh Rais wanakosea sana katika utendaji wao. Mambo kama haya anayofanya Jerry Muro ni kinyume na misingi ya Uwajibikaji katika nafasi za uongozi. Kiongozi hapaswi kumfokea na kumdhalilisha kiongozi mwingine hadharani.

Haya mambo ya kutotumia lugha za staha kwenye mawasiliano katika utumishi wa umma yanapelekea kuwekeana mabifu yasiyo na msingi, kama kanjanja tu anaweza kumporomoshea matusi PhD holder utaelewa ni kitu gani kinaweza kufuata hapo.
 
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile

Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'

A mew type/culture of leadership...dah...mapinduzi ya kiuongozi..dah...tusubiri tuone...kama staili/aina hii ya uongozi italeta tija kwa nchi yetu
 
Wewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?

Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
Kwa maoni yangu ili kulinda heshima yake ni bora akaachia huo uDED, sio kwa kudharauliwa huko. Bora akaendelee na kuwanoa vijana watakaomheshimu! Eti upuuzi kha!
 
Back
Top Bottom