Labda...eti huu ni upuuzi hahaLabda kichaa mpya mjini ndo anapenda hayo
Mkuu alishasema.Nchi wamepewa vichaa
Uko sahihiMkuu kichaa. Watoto vichaa. Mchongoma hauwezi kuzaa machungwa.
Yaani inaonekana kabisa wanacheza na kamera hapo. DahDC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
How?Yaani inaonekana kabisa wanacheza na kamera hapo. Dah
Eeeehhhh... Jamani Jerry anakoelekea sio kabisa.. Eeeeeh..!!π‘π‘π‘π³π³π³π³ Mh Rais wangu tengua huyu mtu, plz plz plz...!!! Yaani nasema kweli kabisa ingekuwa ni mm ananinyooshea kidole hivyo napiga ngumi hadi atakimbia atasahau kila kitu hapo..hatarudia tena kabisa..!!