Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Well said mkuuWewe mzazi upo hapo umesimama. Halafu matoto yasiyo na adabu yakaanza kufokeana mbele yako. Ni kweli utakaa kimya tu? Mkuu wa mkoa ambaye naye hujifanya mkali sana hapa naona yuko kimya tu. Au Jerry naye ni mtoto wa dadiii ndo maana Gambo ameogopa kuingilia kati?
Halafu anayefokewa ni PhD holder tena bingwa kabisa wa hisabati. Alipaswa kuwa ananoa vijana wetu Mlimani huyu hasa ukizingatia kuwa tuna wataalamu wachache sana wa somo hili muhimu. Leo yuko hapa anafokewa na failure. Tumbo mwanaharamu sana aisee. Na kwa mtindo huu wasomi wa Tanzania mkiendelea kudharauliwa msilalamike. Sad [emoji36][emoji36][emoji36]
Sio sahihi kumuita Presidential appointee mwenzako mpuuzi mbele ya uma.
Hii ni mara ya pili naona Mh. DC anateleza,
Hapa nimeomba akumbushwe tu kubehave, sijaomba atumbuliwe, kuna tofauti kubwa sana katika hayo mawili.
Siyo kweli. Ingekuwa hivyo DC asingeweza kumfokea. DC ni mwakilishi wa Rais ktk wilaya
Sent from my TECNO N5 using JamiiForums mobile app
Mimi nimekataa kwamba hawako sawa,afafanue huyo aliyesema wote wako sawa sio mimi.Fafanua basi kama wote wako sawa kivipi...?
RC anamwakilisha Rais ktk mkoa. DC yuko sahihi kabisa watumishi wengi wanafanya mambo kwa mazoea hawazingatii mudaNa RC anamwakilisha nani akiwa kwenye ziara ya pamoja na DC...???
Acheni kutetea upuuzi bhana...!!
Fafanua basi kama wote wako sawa kivipi...?
Hayo mengine ni mitazamo yako ambayo sio final, na ukizingatia kwamba pia unayo haki ya kutoa maoni.Na akisema kamchagua maana ni kichaa kichaa kama yeye utasemaje tena? Au akisema "Muro chapa kazi" hutakuja hapa na kumpongeza?
Yaani anamnyoshea kidole kama mfungwa vile. Huyu DED ni PhD holder, alikuwa lecturer wa USDM. Sasa huyu mbweha sijui ujasiri anaupata wapi wakati hata hela ya mafuta na matairi ya gari anakwenda kupiga goti kwa DED. Magufuli anapaswa kuwatimua hawa walevi wa madaraka
True. Usikute anafurahia sana kuona "vichaa wenzake" wanatekeleza ilani ya Chama na kuchapa kazi mbele ya CameraConsultant,
Magufuli atawatimuaje hao walevi wenzake wa madaraka??
Mkuu alishasema hapangiwi, hawa ndo aina ya viongozi anaowapenda.!Yaani anamnyoshea kidole kama mfungwa vile. Huyu DED ni PhD holder, alikuwa lecturer wa UDSM. Sasa huyu mbweha sijui ujasiri anaupata wapi wakati hata hela ya mafuta na matairi ya gari anakwenda kupiga goti kwa DED. Magufuli anapaswa kuwatimua hawa walevi wa madaraka
Hayo mengine ni mitazamo yako ambayo sio final, na ukizingatia kwamba pia unayo haki ya kutoa maoni.
Swala hapa ni kumsaidia Ndugu yetu ili amsaidie Rais kuleta maendeleo kwa wananchi jambo ambalo ndilo la msingi zaidi.
Hawa viongozi wasiojiamini ni taabu tupu, anaona kila mtu anajua ana uwezo mdogo kazi yao ni kujihami. Muro hana hata hadhi ya utendaji wa kijiji labda kuwa mcDC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
RC anamwakilisha Rais ktk mkoa. DC yuko sahihi kabisa watumishi wengi wanafanya mambo kwa mazoea hawazingatii muda
Baba yako au mama yako angekuwa DED halafu anafokewa unaona kama hivi ungejiskiaje? Acha upuuzi wa kuandika ujinga ujingaRC anamwakilisha Rais ktk mkoa. DC yuko sahihi kabisa watumishi wengi wanafanya mambo kwa mazoea hawazingatii muda