DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara


Kwa haya uliyoyaandika ni wazi kama taifa tumezama kwenye tope!!! Hii inaonesha utawala wa Magufuli ni hovyo sana kuliko zilizopita!! Vetting haizingatiwi tena!!
 
Anaitwa nani huyo mkurugenzi?
 
Kwani angemuitaa baada ya ziara hiyo na kumuonya kiofisi angekosea wapi? Au ndio promo za camera? Anajenga chuki kati yake na walio chini. Apunguze jazba, uongozi ni kucheza na saikoloji za watu tuuu
Wewe umeongea kwa hekima.
 
Mkuu umeongea vizuri sana ila hiyo para ya mwisho hapana.Hayo mafuta ambayo Dc anaomba kiuhalisia bado ni pesa ya serikali na wala Mkurugenzi hatoi mfukoni mwake kwahiyo sioni shida hapo.
 
Hekima ni muhimu sana.Ubaya ni kwamba asiyekua nayo ndiye hujiona kana kwamba anayo.
 
Kilichonikera ni kuona PhD ya mathematics specifically financial mathematics anakemewa na dogo ambaye hata kula yake ilikuwa shida mpaka JPM alipomuona.

Taabu sana.
 
Mbaya zaid kumbe RC alikuwepo nae akakaa kimya tu
 
Kilichonikera ni kuona PhD ya mathematics specifically financial mathematics anakemewa na dogo ambaye hata kula yake ilikuwa shida mpaka JPM alipomuona.

Taabu sana.
Mkuu wasomi hawataki kubaki na kazi za kisomi wanataka ulaji, huyu Dr nae alikuwa na siasa toka zamani sana. Nakumbuka kuna mwaka alinifundisha alipiga sana siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…