naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Hiyo Ni nchi jirani sisi hatuna utamaduni wa hovyo namna hiyo mtu anakuja kukuomba samahani unampiga?Wangeenda nchi jirani kuona traffic polisi wanatandika viboko kondakta wachafu..wasiofuata sheria wangesemaje!
Well, kuna kasoro kadhaa ambazo baadhi ya viongozi wetu wanazionyesha kwenye utendaji wao namna wanavyotumia mamlaka...ILA na wananchi tulianza kulewa uhuru na haki...zama zimebadilika ni kujiandaa kisaikolojia otherwise tutakua tunahamaki tuu kila jambo.
#Mlisema mie mpole, Mabadiliko kuleta mkali (JK,2015)