DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

Siyo mimi, bali kwa mila zetu si heshima kwa mwanamke kuacha kifua chake wazi.

Na pia muongozo wa mavazi wa watumishi wa umma unaelekeza kuwa wanawake wasiache vifua vyao wazi
 
Hatujaingilia mavazi yake bali tumehoji kile ambacho amekiacha wazi, yaani kifua nje!
 
Mkuu, mbona Jokate hajavaa vibaya katika mavazi yote uliyoweka hapa? Usije kuleta ushamba wa dini hapa na kulazimisha mtoto wa watu avae magunia kukuridhisha wewe na itikadi zako za kidini.
Hajavaa vibaya huko chini, ila juu kwenye kifua hajavaa kabisa, kakiacha wazi kinyume cha muongozo wa mavazi ya watumishi wa umma
 
Hatuna Shida na Mavazi, ni Muda sasa wa yeye kufanywa kazi!! Temeke ni chafu kama dampo!! Na muda Muafaka wa kuachana na siasa za kusifiwa na kurudi kwenye siasa za taratibu na sheria!! Na kusimamia utendaji!! Wananchi tunategemea maelekezo ya viongozi kuelekeza wafanyabiashara watafutiwe maeneo rafiki ya kufanya biashara yatekelezwe na barabara ziachwe kwa kusudio stahiki!! Fikiria unatoka Mjini kwenda Mkuranga unamaliza masaa mawili Mbagala Mwisho!! Ndio kusema hakuna uongozi!?
 
Iweje kifua kiwe wazi kama kilichopo kifuani hakionekani? au wewe unakiona? wacha hayo mawazo ya vijana wewe ni mtu mzima unaonekana.
Kama kifua hukioni hapo basi utakuwa kipofu.

Anyway, kwenye muongozo wa mavazi ya watumishi wa umma nilioweka hapo kwenye kipengele cha MAVAZI YASIYOFAA KWA WANAWAKE nukta ya tatu imesema wazi kuwa moja yamavazi yasiyofaa ni yale yanayoacha kifua nje
 
Ok, kama unawaamini hao waliosema hivyo basi nenda kawaulize, inawezekana vipi kifua kiwe wazi kama kile kilichopo kifuani hakionekani?
 
Dereva wa Jokate, ujumbe umefika, najua madereva wa hawa ma-viongozi vijana wasio olewa [SUKARI -MAMMY] mnapata shida sana, ujumbe umefika , Jei-wa-insta-mwaga-maa atamfunda, ni mama yake mdogo.
 
unalinganisha chuchu mbili na nywele zisizo na idadi?
Huo ni mfano tu nimekupa ili kutambulisha uwepo wa kitu mahala pake, anyway, hapa ulitakiwa useme "sehemu ya juu ya kifua" sio kifua chenyewe, imaginations zako ndio zimeku cost hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…