DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

Mkuu kifua tu ?naona ndiyo maradhi yako yaliko pole...ila sijaona tatizo...mie nilidhani zile skin jeans kumbe ni hii? Mimi sina tatizo age inamruhusu somehow inakuwaje avae kama SASHA angali bado kijana?
 
Duuh,huyu atakuwa nabii nani jamani???vitu vingine mnavotamani viwe mkavijaribu hata huko nyumbani kwa mabinti zenu
 
Zamani vetting walikuwa wanafuatilia tabia na mwenendo wa mtu kila alipoishi kuanzia shule ya msingi, sekondari, chuo , nyumbani ni mtu mwenye tabia njema au mhuni?

Wakigundua alikuwa tabia za kihuni huni na magenge hapewi kazi .

Sasa siku hizi naona haifanyiki tena.
 
Nilishasema tangu uzi ule wa msando kua, kinachosumbua ni baadhi yetu kua na elements za mawazo ya kishamba.

Tunahitaji viongozi wanaojichanganya na jamii halisi ya kileo. Hao conservative watatuchelewesha, labda Kama tunataka kufuata mrengo fulani tofauti na wa kimagharibi.
 
Nimekuja nikafikiri kavaa Batty Rider.

image_68d00a2c-51ea-4b2c-b389-cbdd49dfbc5d_1024x1024@2x.jpg
Nowadays one has to ask: is this a dude? 😂
 
Mwanangu hauna tofauti na mshua wangu yani nakuona kama mshua kbsa

kwa mavazi hayo na bado huyataki,asee wewe ni mshua wangu kbsa kbsa

mpaka nachomoka ile nyumba asee nimevuta pumzi kubwa mno,shkamoo fazaaaa

mwanao siku hizi sivai tena zile suruali,zimenishinda dingilai,kwa sista joket nae hawez kukuelewa asee
 
Back
Top Bottom