DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

Mleta mada pia huwa ni mdini sana!

Na msishangae akakasirika hata Samia leo kwenda kuhutubia Mapadri!

Hata hii mada yake imekaa kidini zaidi, yani anataka kila mtu avae kininja
 
Mleta mada akapimwe akili, hayuko sawa na kama hataanza kukubali ya kuwa anamatatizo ya kiakili itakuwa ngumu kumsaidia.
Aina ya matatizo ya kiakili aliyonayo kwake ni ngumu kuyaona ila kwa walio pembeni yake it's obvious yako shahiri dhahiri.
Natanguliza pole kwako mleta mada, tafuta matibabu haraka na bila shaka yoyote utapona.
 
..

1624634879700.png



1624634942004.png
 
Back
Top Bottom